Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Nipo season 1 e6 kichwa kinawaka moto , hapa nikimaliza niende youtube nikapate recap kwanzaMungu akutangulie š
Nipo season 1 e6 kichwa kinawaka moto , hapa nikimaliza niende youtube nikapate recap kwanzaMungu akutangulie š
Dr. Mariposa ndo anafatilia sana hzo, mi nazijua chache au Vincenzo Jr ngoja aje akupe list yeye huwa anangalia movie/series aina zotehakuna wapenzi wa madival movies/series humu?
sijaona watu wanakizi recommend
šš hayo macho sasa!! Ni yatavimba hadi yatumbukeš we andaa mbege na nyama za kutosha mi nakuja na movie hakuna kulala mpaka jumapili ni mwendo wa movie, mbege na nyama za kuchoma š
Series kalii sana hiziTAYLOR SHERIDAN huyu jamaa mkono wake ndo umeindika na kudirect hizi series
MAYOR OF KINGSTON
LANDMAN
TULSA KING
YELLOWSTONE
LIONESS:SPECIAL OP
View attachment 3523803View attachment 3523804
Mbege tamu sanašš hayo macho sasa!! Ni yatavimba hadi yatumbuke
ushawahi kunywa kaka šMbege tamu sana
Ndio mwaka jana mwezi wa tatu hivi nilivyoenda arusha hata huku kigamboni zipo ila sio tamu kivileeushawahi kunywa kaka š
Janelle monae ni mwanamuziki USA huyu ana Ngoma Yake inaitwa 'Yoga' pia ni binamu yake na Jidenna yule jamaa aliyeimba wimbo wa "Classic man" na BambiYa pili icheki haraka sana Kuna mtoto mmoja hivi ana rangi ya chocolate wa kuitwa Janelle monae yupo na kitoto kingine kinaitwa medelyn cline
Special ops lioness,,,,ameiweza sanaSeries kalii sana hizi
Sijaelewa Madiva movies zikoje hizo shemDr. Mariposa ndo anafatilia sana hzo, mi nazijua chache au Vincenzo Jr ngoja aje akupe list yeye huwa anangalia movie/series aina zote
Nahisi jamaa alimaanisha movie zinazoonyesha maisha ya zamani Kama Vikings,See,Last kingdomSijaelewa Madiva movies zikoje hizo shem
Yule mtoto fundi sana bila shaka Mr Q alifaidi knives out ya piliJanelle monae ni mwanamuziki USA huyu ana Ngoma Yake inaitwa 'Yoga' pia ni binamu yake na Jidenna yule jamaa aliyeimba wimbo wa "Classic man" na Bambi
Kakosea spelling itakuwa ni medieval moviesSijaelewa Madiva movies zikoje hizo shem
Aaanha ndio mambo yangu hayoooo, zipo nyingi sanaNahisi jamaa alimaanisha movie zinazoonyesha maisha ya zamani Kama Vikings,See,Last kingdom
emmh leta ambazo zipo complete naona nying hua wanazi cancelAaanha ndio mambo yangu hayoooo, zipo nyingi sana