dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,701
- 9,859
unakula kisha unarudi kwenye screen mpaka macho yarudi ndani 😂Yan leo kazi ni moja 🎬
Kuamka hadi njaa iume..
unakula kisha unarudi kwenye screen mpaka macho yarudi ndani 😂Yan leo kazi ni moja 🎬
Kuamka hadi njaa iume..
unakula kisha unarudi kwenye screen mpaka macho yarudi ndani 😂
Kesho Holiday ipi tena? Duh umeangalia Movie usiku mzima mpaka hujui saa hivi ni saa ngapi 😂Nachoweza kusema ni mitano tena
Nimeimaliza below 👄 ya Dr. Mariposa 😂😂
Vipi usalama huko nje? Kesho holiday tunayo au hatuna?
😂😂 yaaan kwamba. Leo Gen Z wakivuruga mambo means na kesho tunalalaKesho Holiday ipi tena? Duh umeangalia Movie usiku mzima mpaka hujui saa hivi ni saa ngapi 😂
Hahahahahaha mbavu zangu🙌🏻Nachoweza kusema ni mitano tena
Nimeimaliza below 👄 ya Dr. Mariposa 😂😂
Vipi usalama huko nje? Kesho holiday tunayo au hatuna?
😄😄 ilaaa DallasHahahahahaha mbavu zangu🙌🏻
acha roho mbaya dosho, hutaki mwali apate mafunzo..!??😂Achana na Carleen na Vincenzo Jr kaangalie hzi hapa ni nzuri 1. Perfect date ( 8.0) 2. In between (7.8) 3. Holidate (7.5)4. Clouds (8.1) 5. Me before you (8.5) 6. Purple Hearts (8.0) 9. The last Christmas (8.0) 10. The other Zoey (7.8)
Hzo rating ni kutokana na mimi, chagua moja wapo au chukua zote kama unaweza ila zote ni nzuri
mfano mzuri Christian alivyoelezewa, unamu imagine mkaka mmoja hivi matata sana, ukija kwa Anna sasa, weka imagination ya hayo matukio muhimu unaona kabisa weeeeeeh’ hii si ya kukosa kabla hujaaga dunia, kuja kuona movie I was kinda disappointed bhaaanaaa…!😅 taste ipi ulikuwa unataka ndugu yangu
Hapana..!Umeshatazama kiss and kill yupo bidada mmoya hivi wa kuitwa kira noir sio powa
What a tragedy 😭 😭 amenisikitisha sanaroofman is based on a true story, imenifunza kuwa sometimes hisia zetu zinaweza kuwa our downfall..!!
tutangulize akili mbele kama tai walaqhi’, nilimsaidia mshikaji kujilaumu..!🙌🏾
second paragraph umenielewa vyema kabisa, hizo fifty shades of Grey ungeanza na novel zake, movie hata usingeimaliza niamini mimi, na malalamiko ni mengi mno mno ya hizo movies kwamba hazijaendana na kile watu walitarajia baada ya kusoma novels, na movies zimekuwa rated very poorly,Kwa tulioangalia movies zake tumepata taste. Nzuri mbona
Sema ukisoma novel zile imaginations zina raha yake. Yaani ni kama unatengeneza movie yako mwenyewe kichwani mwako
Niliona nilivomsoma Sydney Sheldon kwenye the other side of midnight na memories of midnight na nilivokuja kuona movies zake ni kweli unaona kama hupati ile ladha kama ilokuwemo kwenye novels
aliniuma mno pia walaqhi..!🙌🏾What a tragedy 😭 😭 amenisikitisha sana
View attachment 3513584
iko na sequel, umeanza na ipi..!?😂 nimedownload.. nangoja serikali itupe curfew nipate kuangalia
Ni uzinzi mwanangu 😎 😀😃Hapana..!
ni criminal..!? ama ni uendelevu wa uzinzi..!?😁
Naomba kuuliza. Fargo haikupata tuzo yoyote?
Ngoja niidownload 😎Dakika 7 za hii muvi zimetosha kuileta humu ili wana muicheki. Imeanza vizuri sana
View attachment 3513604
ipo site gani hii mzee…?Dakika 7 za hii muvi zimetosha kuileta humu ili wana muicheki. Imeanza vizuri sana
View attachment 3513604