Series (Special thread)

Series (Special thread)

Depal nimemaliza Bel -Air, siwadai kiukweli so far my fav person ni Geofrey, there’s something darker about him..!!

ukiwa na muda tafuta hii drama ya mwali na mama mkwe, hutojutia..!
IMG_3911.jpeg
 
Movie: Hero ya 2019
MV5BODU5NmUyMzMtNjI2ZC00YTM1LWE1YTYtNDFmYjNlZDc2NWY1XkEyXkFqcGc@._V1_.jpg

Ni movie Kali sana inahusiana na dogo anapigiwa simu na inadaiwa ni ya Mzee wake anataarifiwa kuwa yupo kwenye hatari akimbie na dogo anajua Mzee wake kashadedi na baada ya muda Kuna kundi linamvamia na haijulikani Hilo kundi linataka Nini kwa huyo dogo oya ni hatari Kuna umafia wa maana sana humu wa Russia hawana kazi ya kitoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom