Series (Special thread)

dosho12 moja ya kulalia..
1. Truth or dare
Group moja la marafiki walienda vacation na huko wakakutana na mtu mmoja akawambia wacheze mchezo unaitwa Truth or dare, wakakubali maana wapo kufurahia ila baada ya kurudi lile game likaanza kuwajia na kuwalazimisha wacheze la sivyo wanakufa

2. ITEFAQ ( kihindi)
jamaa mmoja anashukiwa kumuua mkewe na polisi wanakuja sehemu ya tukio ila jamaa anafanikiwa kuwatoroka na anaenda kwenye nyumba ambayo anakuta kuna maiti mke kaamua mumewe, wote wanakamatwa na polisi ila cha kushangza kila mtu anatoa stori yake tofauti, na maaaji yote mawili huenda yakawa na muunganiko hivyo muvi inaeleza ni nani aliyehusika na mauaji hayo
 
Ni ipi…
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…