Ndugu zangu wapendwa,
Leo nimedamka natamani kuskiza playlist ya ‘you know what’s happening when Weusi meets Nahreel right’..!?
kiukweli namshukuru Mungu kuzaliwa era yenye ngoma tamu kama hizo, heshima yangu kwa Nahreel pia, yule kaka ni jini..!
kwa leo ni hilo tu, weekend njema..!!