hii inaonekana nzuri, namna napenda hekaheka..!🙌🏾Bwana mmoja ana saka zake Mali (treasure hunting) kwenye miji iliyo haribiwa. Baadae anapewa misheni ambayo yeye anaenda akijua ni misheni aliyo ambiwa kumbe anajikuta katikati ya vijana kutoka kwa mzee wa ma vodka Russia hapo ndo mtiti unapo anzia. Katika harakati zake hizo anajikuta kwenye karakana Fulani n baadae anagundu kuwa misheni ilikuwa ya kuzuia BOMU lisiangukie mikononi mwa watu wasio husika.
BOMU Hilo kwa mujibu wa story teller anadai yaliundwa mawili tu huku Moja lilitumika miaka mingi iliyo pita na USA kuangamiza miji Fulani huko kwa wavimba macho.
Angalau kwa sasa wakati tunawasubiri akina John wick tutulie na hio kwanza ambayo wamejitahidi japo hawajasikia hela hela za akina bondshii inaonekana nzuri, namna napenda hekaheka..!🙌🏾
shukrani sana mkuu..!
Inaitwaje?Eti Vincenzo Jr wewe ndo ungekuwa Joel ungeweza kuishi na Ellie kama binti yako ilhali dunia haieleweki ilivyo?
dosho12 wewe ungeweza hiyo hali kweli?
Mr Q vipi kwa upande wako?
Na wewe Carleen ungeweza kuishi na Joel kama baba yako kwa muda wote huo?
Haki ya nani director amezingua sana aisee, kwanza ni uongo mtupu na kiuhalisia ni jambo lisilowezekana.
Sitaki kuwa mnafki, binafsi nisingeweza aisee 😂🙌
Khalas 😂
The last of us.Inaitwaje?
Sawa sawa mkuuThe last of us.
Ningeweza mkuu kumbuka hapo mwanzo pia nilikuwa na Binti mwenye umri kama wa Ellie na alivyofariki mkononi mwangu nilipata insomnia relief aisee kwa hiyo Ellie ni kama Binti yangu aisee nilimpoteza Binti wa mwanzo hapo lazima Ellie nimlee na kumlinda kama mwananguEti Vincenzo Jr wewe ndo ungekuwa Joel ungeweza kuishi na Ellie kama binti yako ilhali dunia haieleweki ilivyo?
dosho12 wewe ungeweza hiyo hali kweli?
Mr Q vipi kwa upande wako?
Na wewe Carleen ungeweza kuishi na Joel kama baba yako kwa muda wote huo?
Haki ya nani director amezingua sana aisee, kwanza ni uongo mtupu na kiuhalisia ni jambo lisilowezekana.
Sitaki kuwa mnafki, binafsi nisingeweza aisee 😂🙌
Khalas 😂
Exactly 💯 mwanangu 😎wanadai nia ilikuwa kupunguza pia idadi ya vijana, sababu we all know vijana wasio na ajira wakizidi mitaani while maisha magumu nini huwa kinatokea, ndiyo maana mwishoni ilibidi iwe vile kwa yule dictator..!
Ningeweza ndio, kama alivyosema Vincenzo Jr (shekh khalid ) 😁, jamaa bado ana yale majuto ya kutomlinda mwanae hivyo alivyokutana na mtoto kama mwanae akapata ile hali ya kutaka kumsaidia na kumlinda kama mwanae, japo kuwa dogo ni mbishi ila anamuheshimu, kumwamini na kumpenda sana joelEti Vincenzo Jr wewe ndo ungekuwa Joel ungeweza kuishi na Ellie kama binti yako ilhali dunia haieleweki ilivyo?
dosho12 wewe ungeweza hiyo hali kweli?
Mr Q vipi kwa upande wako?
Na wewe Carleen ungeweza kuishi na Joel kama baba yako kwa muda wote huo?
Haki ya nani director amezingua sana aisee, kwanza ni uongo mtupu na kiuhalisia ni jambo lisilowezekana.
Sitaki kuwa mnafki, binafsi nisingeweza aisee 😂🙌
Khalas 😂
Nakataa 😂Ningeweza mkuu kumbuka hapo mwanzo pia nilikuwa na Binti mwenye umri kama wa Ellie na alivyofariki mkononi mwangu nilipata insomnia relief aisee kwa hiyo Ellie ni kama Binti yangu aisee nilimpoteza Binti wa mwanzo hapo lazima Ellie nimlee na kumlinda kama mwanangu
Dah! Haya ngoja ninyamaze tu 😂🙌Ningeweza ndio, kama alivyosema Vincenzo Jr (shekh khalid ) 😁, jamaa bado ana yale majuto ya kutomlinda mwanae hivyo alivyokutana na mtoto kama mwanae akapata ile hali ya kutaka kumsaidia na kumlinda kama mwanae, japo kuwa dogo ni mbishi ila anamuheshimu, kumwamini na kumpenda sana joel
Sijaitazama hii series bado mkuu wangu..!!🙏Eti Vincenzo Jr wewe ndo ungekuwa Joel ungeweza kuishi na Ellie kama binti yako ilhali dunia haieleweki ilivyo?
dosho12 wewe ungeweza hiyo hali kweli?
Mr Q vipi kwa upande wako?
Na wewe Carleen ungeweza kuishi na Joel kama baba yako kwa muda wote huo?
Haki ya nani director amezingua sana aisee, kwanza ni uongo mtupu na kiuhalisia ni jambo lisilowezekana.
Sitaki kuwa mnafki, binafsi nisingeweza aisee 😂🙌
Khalas 😂
Be blessed mzee wa codes, nimepita pahala nikazinyaka..!😀Angalau kwa sasa wakati tunawasubiri akina John wick tutulie na hio kwanza ambayo wamejitahidi japo hawajasikia hela hela za akina bonds
nilikuwa nawaonea huruma kinoma, nimefananisha hayo mauaji na mauaji flani, au basii..!Exactly 💯 mwanangu 😎
Vipi ulivyo icheki haukushtuka mwanangu maana wale wana walikuwa wanawala sana wenzao vichwa 😀 😀
Hawajakosea mwanangu 😎View attachment 3501016
wame rate sawa sawa..!? kwa wana mliotazama hivi vigongo vyote..!??
Yale aliyofanya samuya na genge lake!nilikuwa nawaonea huruma kinoma, nimefananisha hayo mauaji na mauaji flani, au basii..!
Hii ya mwisho ilipaswa kua ya kwanza, kisha ije Daredevil then The Pitt. Paradise ilipaswa kua ya mwisho kabisa kwa kuzingatia ratings zilizowekwaView attachment 3501016
wame rate sawa sawa..!? kwa wana mliotazama hivi vigongo vyote..!??
Anhaa! Haya mkuu, pita nayo.Sijaitazama hii series bado mkuu wangu..!!🙏