Jeremiah njoo unipe list
Ile ilisha
dosho12
1. Fractured (psychology)
Inahusu jamaa mmoja alikuwa na mke na mwanae wakienda kusalimia wazazi wake, walipofika njiani mke akashuka kwenda kununua mahitaji madogo madogo, kumbe na mtoto kashuka pia bahati mbaya mtoto kandodoka na kuumia hivyo wakampeleka hospitali kafika reception kajaza fomu na mtoto kapelekwa kwenye matibabu na mama yake , ukapita muda mrefu jamaa akaenda kuulizia ila cha kushangaza anaambiwa amekuja pekee yake na hakuja na mtoto waka mke
2. The stanger chapter one
Inahusu mtu na mchumba wake wameenda vacation, ila wakiwa njiani gari likaharibika hivyo ikabidi waende kutengeneza ila maeneo walipoenda ni mji ambao hauja endelea sana na ilikuwa ni jioni hivyo pale garage wakamwambia asubiri kesho asubuhi ndio watafata vifaa mjini kwa sasa hawawezi kutengeneza, wakambiwa kama wako tayari kuna sehemu moja kuna Airbnb hivyo watalala hapo asubuhi waende gari itakuwa tayari, usiku wannakuja watu kutaka kuwaua hivyo wanajitahidi kujificha na kupambana nao
3.Until Dawn
Inahusu msichana mmoja alipotea kwa muda mrefu bila taarifa hivyo mdogo wake akaenda akiwa na rafiki zake kwenda kumtafuta, kabla ya kupotea alipost video akiwa sehemu flani, kwa hiyo mdogo wake akenda huko wakaingia kwenye nyumba mmoja wakakuta kuna picha za watu wengi waliopotea na log book ya hoteli ila hakuna mtu hata mmoja, mara ghafla likaja jamaa fulani likaanza kuwaua ila baada ya kufa wakarudi tena, hivyo wakagundua kuwa hapo ibabidi wa survive mpaka asubuhi bila kufa la sivyo utakwama kwenye timeloop na kila muda unavyokwenda wanavyozidi kufa na kurudi ndio wanazidi kubadikika na kuwa ma monster
4. Tarot
Inahusu wanafunzi na marafiki walienda kusherekea siku ya kuzaliwa kwenye nyumba ya kukodi na humo wakakuta kuna zile karata za kujua future zako kutokana na horoscope, mmoja wa ma marafiki hao alikuwa na uwezo wa kufanya hizo card reading hivyo kwa mzaha wakaanza kusomeana horoscope zao na kutabiri future zao ila baada ya sherehe kuisha wakarudi nyumbani na utabiri ukaanza kutokea kama alivyosema na wakanza kufa mmoja mmoja