Series (Special thread)

Series (Special thread)

Dubbed dual audio
alice-in-borderland-768x1138.jpg
 
Hata sielewi why....naangalia series tofauti tofauti lkn Korean nope....Naona wamenikalia kushoto...hhhh
Kuna moja inaitwa Night has come (Horror) itafute ni nzuri ina episode 12, alafu episode zake ni fupi fupi, dakika 35 tu, inahusu wanafunzi walienda kwenye trip ya shule kwenye jengo moja, humo walivyofika wakaletewa link ya kujiunga kwenye game moja linaitwa Mafia, masharti yake ni kila siku wamgundue mafia na kumpigia kura mwenye kura nyingi ikifika saa sita usiku anakufa na asiyepiga kura na yeye anakufa mwanzoni walijua ni game la kawaida ila walivyo anza kufa ndio wakajua ni serious
 
Nilianza kuiangalia tarehe 16 Aug yani siku 3 baada ya kuachiwa official lakini mpaka leo bado nipo episode ya 4

Kuna namna ambayo wa Asia hawanivutii kwenye series.

Hii script ingeenda hollywood ingekuwa ni bonge ya series.

Hawa wakorea ni kama wanaigiza katikati ya igizo wameipoozesha sana series hususani zile scenes za kubembelezana na kutia tia huruma ndio walipo haribu.

Ebu imagine kwa maudhui ya hii kazi wangepewa ma blacks wa US kama kina Hardwick unadhani hii ingekuwa series ya kitoto?

1758909889053.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom