Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tulsa King | SEASON 3, EPISODE 1 🍿🔥🎥
20250923_175301.jpg
 
Katika kuruka ruka na harakati za kutafuta mchongo wa kuangalia si nimekutana na mizigo ya animation za Kichina!!!
Wenyewe wanaita DONGHUA, eeeh bwana eeh ni cheche.
Wachina hawapewi heshima yao.

Nimeanza na chuma kimoja kinaitwa SWALLOWED STAR, humu ndani ni hatari wazee.

5fb7c48305841.jpg


Kama sio mpenzi wa animation, ooops sina cha kusema.
 
Sana, ina historia nzuri, ina watoto wazuri😁, mi zile season za dunia imeharibika halafu watu wanaanza kuishi upya huwa nazipenda sana
Kama 1. The 100, 2. See 3. In to the badlands 4. Silo 5. Last of us, 6. Revolution, 7. The walking dead, fear the walking dead
Ongezea na wayward pines na from

Kwenye the 100 ile mitoto mizuri sana 😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom