jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,691
- 41,849
Movie ikiwa na lugha tofauti na kiingereza huwa inanishida,kusoma subtitle changamotoChief of War inazidi kunoga, ila majina yao kama hujala mlenda huyatamki🤣🤣
Movie ikiwa na lugha tofauti na kiingereza huwa inanishida,kusoma subtitle changamotoChief of War inazidi kunoga, ila majina yao kama hujala mlenda huyatamki🤣🤣
Hiyo Ngoma IPO lugha ya ki Asia sijui Malaysia au Sri Lanka sijui lugha gan but tembea na subtitles mzeeeInakuja kwa lugha Gani hii
Duuh! unapitwa na mengi sanaMovie ikiwa na lugha tofauti na kiingereza huwa inanishida,kusoma subtitle changamoto
Dah hatari sanaHiyo Ngoma IPO lugha ya ki Asia sijui Malaysia au Sri Lanka sijui lugha gan but tembea na subtitles mzeee
Hamna kitu humu kuna yule mama rais yeye muda wote anatembea tuuh hana cha maana anachofanyaNimeangalia episode moja hadi sasa ya Conflict, nimeipa 8/10. Naishusha episode ya pili niikague🥳
Nili penda goma la burna 2013. Hata need for speed wali tisha pia.F1
Wazee wa Racing.
Movie ni Kali.
Ila naipa 8/10
Hizi mbili wameshindwa kutuonesha ile tension ya RUSH ya 2013.
Msichana : "admit it jack you still love me"leo niko bize na magoma ya captain jack Sparrow.
Nipo dead man chest, jack ana tafutwa na mizimu😂😂Msichana : "admit it jack you still love me"
Jack : "if you had a sister and a dog, i would chose the dog"
hiki kipande huwa nakipenda 😂😂
Reminding myself who I would be, if I wasn't who I am by Thomas Shelby.Nmeimaliza Peaky Blinders nmempenda sana uyu mwanamama Polly Gray kwanza tabasam lake matata sana pili ni gangster hadi ganster tena tatu anapigo fulani za kimalaya(sio malaya) yaani yupo sooo sexy anaonyesha utundutundu kama binti wa kimakonde😊😊 kuna kipande alikuwa anawasha moto porini mdada kakaa kimitindo hadi raha😄😅
All in All mwanamke uyu alikuwa na magic smile😊
So sad kafariki R.I.P
View attachment 3450661View attachment 3450654View attachment 3450656
Mh nimeangalia trailer sijashawishika, sio mpenzi sana wa movies za gangsters and crimes au upelelezi yaani ni mara chache sanaaa,Reminding myself who I would be, if I wasn't who I am by Thomas Shelby.
Dr. Mariposa angalia hiki chuma bhana.
Kaangalie teen wolf Sasa, beside nasikiliza nyimbo fulani hivi.Mh nimeangalia trailer sijashawishika, sio mpenzi sana wa movies za gangsters and crimes au upelelezi yaani ni mara chache sanaaa,
Napenda Horrors zenye Vampires, Draculas, Werewolves, zenye kuchinjana mfano wa wrong turn na zombies kwa mbaaali ila sipendi za ghosts,
Napenda Historical wakina GOT, Troy, Wrath of Titans, Gladiators, Vikings, sasa hivi nipo kwenye Chief of WARS true story ya watu wa Hawaii, ila sipendi historia ya utumwa wa Afrika hua nachukia kuangalia,
Napenda Adventures na Fantasy, humo kuna actions kidogo, Sci-fi kidogo, comedy kidogo yaani mchaka mchaka flani ambao haupoi wala hauboi, hapa ndio hua makini sana kuchagua movies/series hua nasoma kwa utulivu story yake na kungalia trailer kabla sijajichanganya,
Napenda Animations sana
Hiki chuma nilikatibiria makali sana kuanzia sokoni best movieF1
Wazee wa Racing.
Movie ni Kali.
Ila naipa 8/10
Hizi mbili wameshindwa kutuonesha ile tension ya RUSH ya 2013.
Anti poli apumzike kwa amaniNmeimaliza Peaky Blinders nmempenda sana uyu mwanamama Polly Gray kwanza tabasam lake matata sana pili ni gangster hadi ganster tena tatu anapigo fulani za kimalaya(sio malaya) yaani yupo sooo sexy anaonyesha utundutundu kama binti wa kimakonde😊😊 kuna kipande alikuwa anawasha moto porini mdada kakaa kimitindo hadi raha😄😅
All in All mwanamke uyu alikuwa na magic smile😊
So sad kafariki R.I.P
View attachment 3450661View attachment 3450654View attachment 3450656
FAmilia yao wote wanamaneno kwelikweli Ada anamajibu ya apo kwa apoReminding myself who I would be, if I wasn't who I am by Thomas Shelby.
Dr. Mariposa angalia hiki chuma bhana.
By Order of the peaky blindersFAmilia yao wote wanamaneno kwelikweli Ada anamajibu ya apo kwa apo