Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya😅 au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote 🤔 et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
mara nyingi sana huwa tunawekewa ujumbe kwenye hizi movie, sema mpaka tuje kuelewa huwa ni baadaye kabisa ama wakati mwingine tusielewe mazima..!
 
Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya😅 au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote 🤔 et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
entity haija kaa kama anti crist, ime kaa kama total controller wa watu na kila kitu.

Rejea interview kadhaa za elon musk kapiga kelele kuhusu hilo, kuanzia kwenye ai use yenyewe mpaka matumizi yake kwenye maroboti.

kuna experiment moja ili fanywa na meta kuhusu robot, lili ji control lika anza kuzungumza na mtu ambaye siyo mwenye access nalo.
 
Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya😅 au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote 🤔 et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
Nimeziona sasa, hata moja walai🙌🏻
 
Kama una Kumbuka kipindi Ethan ana ingia kwenye ile machine ya kuwasiliana na entity, ali ambiwa ita m control, na hakutakuwa na siri yoyote atakayo lificha.

1) ai imesha take control ya baadhi ya watu, kwa kuwafanya wali tegemee kwenye kila kitu.
Wengine mpk wana liita mpenzi, buddy.

2, ai ina kusanya data zako na kuzi tumia dhidi yako, imagine una ona google aki share na wewe vile vitu uli sema au zungumza nalo.
 
😀😃😃 Kwa miaka ile ya 2001 mwenzio nilitoroka nyumbani saa 2 usiku kwenda kwa jirani kisa hiyo movie afu ilikuwa na masaa 2 ili iishe si nikatizama hadi mwisho nilivyorudi home mzee alinipiga kibao nilipiga yowe sio powa aisee. Nilifika home saa 6 usiku
Kibao tu ukapiga yoweee inaonesha ulikua muoga sanaaaaaa, mimi mzee hajawahi kunipiga ila amenifundisha kupigana (self defence) inanisaidia sana kukunja taya za vijana watukutu😄😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom