Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,744
Nzuri sana hiyo nakuongezea na hiki chuma kitafuteView attachment 3448015
Nmekuta imewekw kundi moja na lost,dark,from na wyard pines
@vicenzo_jr nipe into kidgo
Nzuri sana hiyo nakuongezea na hiki chuma kitafuteView attachment 3448015
Nmekuta imewekw kundi moja na lost,dark,from na wyard pines
@vicenzo_jr nipe into kidgo
Tawire.Nzuri sana hiyo nakuongezea na hiki chuma kitafute
![]()
ni seriesAngalia echo 3
ila mimi niliikubali sana season ya kwanza ndo ilikua motoFargo bonge la series.
Ndioni series
Ndo mizigo yangu hiyo. Ikiwa ipo kwenye levels za BB itakua poa zaidi.Kama unapenda series za heka heka nyingi na mateknolojia hii hutaipenda
Series flani hivi yaki old school ipo classic sana
Naipenda sana
Kwani ilishatoka?Nathibitisha Nobody 2 ni Kali sana yule mzee ana balaa vibaya mno 😀
The Walking Dead nipo season 3Umefika msimu wa ngapi?
Ile ya kwanza nilicheka sana😂THE BAD GUYS 2 imetoka wapenzi wa animation ya kwanza ilikua kali sana
sawa ngoja nimalizane na stranger things niluke na hioNdio
Inahusu nini hii mkuu🤔Chief of War inazidi kunoga, ila majina yao kama hujala mlenda huyatamki🤣🤣
Vuta picha kwanza jiulizeGuys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???🤣🤣🤣🙌🏻
Mkuu hapa nianze na ipi ?
Movie tamu sana, Black Americans wame-play part yao vizuri. Naipa 8/10
Oyaaa pale choko ni Yule mlinzi.Guys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???🤣🤣🤣🙌🏻
Inakuja kwa lugha Gani hiiBlood brother ni movies nzuri
Good story as well mkono upo wakutosha saana.
Movie haichoshi
Cc Vincenzo Jr
Better call Saul,Saul GoodmanNathibitisha Nobody 2 ni Kali sana yule mzee ana balaa vibaya mno 😀