Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mimi naishusha. Kuna wakati unamkuta series ina 5.6 ila ni nzuri

Halafu nyingine Ina 8.8 ila ni ushoga mtupu nakumbuka movie inatwa Evelyn salt Ina rating chacheee ila ni muvi nzuri tu mi naishusha ntajua ni nzuri au mbaya nikianza kuangalia
View attachment 3441093
Sema ratings huwa naonaga zipo ovyo kwenye single movie ila kwa series naona huwa zinaendana kidogo na uhalisia, yani rating kama ina kaukweli flani hivi

6.9 kwangu ninaconsider kama rating kubwa especially ukizingatia kipindi hiki kila mtu mjuaji, movie inaweza kuwa kali ila mtu anaipa rating ya 5 eti kisa tu main character hajapiga kiss na demu mkali kwenye movie hiyo, au haijaisha kama yeye alivyotaka iishe, au mara wanalalamika labda movie haijafanana na game lake. Yani sababu za kipuuzi tu
 
1755259335681.jpg

Bibi yenu wa kugombania vifungo vya gauni kafariki jana.

Tutamkumbuka na uchawi wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom