Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,686
Ni horror movie hii?
Action packed?
Yes brotherAction packed?
Exactly 💯 hii inamfaa Sana mwanangu CarleenNi horror movie hii?
Kwahiyo mimi hata niachane nayo tu mkuuExactly 💯 hii inamfaa Sana mwanangu Carleen
Safi kabisa, upo vizuri bro👍🏽Ndio niliwahi kumiliki ofisi ya kuuza movie kariakoo ila ile Mishe nikaja kuachana nayo
Hapana kama unapenda horror ikitoka uitazameKwahiyo mimi hata niachane nayo tu mkuu
Napenda sana. Lini itatoka mkuuHapana kama unapenda horror ikitoka uitazame
Mwezi ujao now ipo cinemaNapenda sana. Lini itatoka mkuu
Mkuu dhambi zako apewe Poor BrainMwezi ujao now ipo cinema
nimeshapakua episode 4 ila bado sijatazama nataka nimalizane kwanza na Ballard...Carleen ushaicheki wednesday s2, ni nzuri. Halafu eti Vincenzo Jr ep ya 05 ya wednesday itaendelea tena mwezi ujao ?
unataka nianze kukemea mapepo usiku kweli.!?Ni nzuri sana sema inatisha vibaya mno 😀
Pesa tamu ila ngumu sana walaqhi’..!Pole mwanangu 😀 😀
😀😀😀😀unataka nianze kukemea mapepo usiku kweli.!?
We jamaa kila series nayotaka kuleta huku ushaangalia yani kila nilipopita we umepita mkuu dah😂😂🫡nimekuvulia kofia mkuu…nilitaka niwe naleta reviews za series ila sasa dah 😂😂Kipo cha kuitwa twisted metal
Hii Kimasikhara nyingi Sana.Hii Banshee mbona ina ngono za kiholela sana nimeangalia episode 3 tu naona inanishinda tabia.
Hii Kimasikhara nyingi Sana.
Ahahahha kwakua mimi ndo nachukua madhambi ya watu humu ndani....Mkuu dhambi zako apewe Poor Brain
😀😀We jamaa kila series nayotaka kuleta huku ushaangalia yani kila nilipopita we umepita mkuu dah😂😂🫡nimekuvulia kofia mkuu…nilitaka niwe naleta reviews za series ila sasa dah 😂😂