Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,214
- 79,699
Humo hakuna kupoa watu wanaenjoy sana ipo kama warrior tu ni mwendo wa kumalizana tu 😀😀Yani ni balaa.
Humo hakuna kupoa watu wanaenjoy sana ipo kama warrior tu ni mwendo wa kumalizana tu 😀😀Yani ni balaa.
Ipi hiyoHii Banshee mbona ina ngono za kiholela sana nimeangalia episode 3 tu naona inanishinda tabia.
😀😀 Kwenye series ya the boys walikuwepo kibao sema mie nilikuwa nacheki huku napeleka mbele 😀😀LGBTQ in Sex Education Season 2 is too much
😀😀😀😀😀Mkuu dhambi zako apewe Poor Brain
Duh sema hii Sex Education itabidi nimalizie hivyohivyo maana ni kali, ila wamezidi, wanaume wanachekeana wanatoana hadi out 🤮🤮😀😀 Kwenye series ya the boys walikuwepo kibao sema mie nilikuwa nacheki huku napeleka mbele 😀😀
Wewe tayari ni mbaya mkuu, tukuone mara ngapi?Ahahahha kwakua mimi ndo nachukua madhambi ya watu humu ndani....
Mi nishatoa onyo kwamba sasa hivi kuna jamaa anaitwa jacuba ananifundisha karate .. tutakuja kuonana wabaya 😂😂😂😂😂
Mi nyumbani kwetu wa kwanza ni jamaa na heshima zanguWewe tayari ni mbaya mkuu, tukuone mara ngapi?
Wapenze wa Action, angalia hii. Humu mkono unapigwa ule wenyewe kabisa 😅
View: https://youtu.be/QWnaYorT0Wo?si=SF2JGWONPYT-2UL7
Hapana, mi nimetumia yts na sio dubbedUna link ambayo muvi yake ni doubled? Yani Ina sauti mbili?
Anaujua moto wake huyoView attachment 3440144😂😂 jamaa apo alinichekesha sana, vita ni vita mura
Kwa maoni Yako ni rating ndogo au kubwa?IMDB wameipa rate ya 6.9
MImi ningeipa 7.4Kwa maoni Yako ni rating ndogo au kubwa?
Mimi naishusha. Kuna wakati unamkuta series ina 5.6 ila ni nzuriIMDB wameipa rate ya 6.9