dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,720
- 9,915
Kweli una muuliza Vin, si atakwambia kali balaa😅😅, sidhani kama alishawahi kusema movie flan ni mbaya.ni nzuri Vinnie ama unataka nije hapa kukulaani..!?
Kweli una muuliza Vin, si atakwambia kali balaa😅😅, sidhani kama alishawahi kusema movie flan ni mbaya.ni nzuri Vinnie ama unataka nije hapa kukulaani..!?
hiyo hapo chini umeelezea inaitwa Black Bird..!!😁😁😁😁 Tuachie sisi hizo.
Defending Jacob your honor Fargo
Hapo huwezi kutana na mambo ya James bond ila nakuhakikishia ukituliza kalio kwenye. Sofa ni series tamu sana. Nyingine ni Ile ya bonge alikuwa naua watoto wa kike ila hakuna ushahidi wa Moja kwa Moja kumtia hatiani hivyo akapelekwa mtu jela ili ampeleleze
Vincenzo Jr hizo series ulipatia sana kuzileta humu
Vinnie hajawahi ona movie mbaya maisha yake yote..!!😂😂🙌Kweli una muuliza Vin, si atakwambia kali balaa😅😅, sidhani kama alishawahi kusema movie flan ni mbaya.
Ya mwaka ganiKuna THE ASSASSIN ni 8/10 s
2025Ya mwaka gani
hio ya uyo bonge inaitwajeTuachie sisi hizo.
Defending Jacob your honor Fargo
Hapo huwezi kutana na mambo ya James bond ila nakuhakikishia ukituliza kalio kwenye. Sofa ni series tamu sana. Nyingine ni Ile ya bonge alikuwa naua watoto wa kike ila hakuna ushahidi wa Moja kwa Moja kumtia hatiani hivyo akapelekwa mtu jela ili ampeleleze
Vincenzo Jr hizo series ulipatia sana kuzileta humu
Ni Kali sana mwanangu 😎ni nzuri Vinnie ama unataka nije hapa kukulaani..!?
Hii mbaya Sana jana ilinipotezea muda
Imeflop hakuna jipyaHii mbaya Sana jana ilinipotezea muda
kwa mara ya kwanza…!🙌Hii mbaya Sana jana ilinipotezea muda
Dalili za mwisho wa dunia 😅😅kwa mara ya kwanza…!🙌
Kuna Moja hivi ya kihindi nimesahau jinakwa mara ya kwanza…!🙌
Mambo 😎 😎kwa mara ya kwanza…!🙌
😃😃Kuna Moja hivi ya kihindi nimesahau jina
Vin alinishauri nisichome bando alimaanisha nilichokutana nacho😆
hujambo Cassano..!!Mambo 😎 😎
Nipo gudi 😎hujambo Cassano..!!