Series (Special thread)

Series (Special thread)

Movie nzuri kwa wapenzi wa Thriller
Huyu demu alikuwa kwenye situation ngumu sana. Nimependa ilivyoishia.
Happy ending 😁
Screenshot_2025-07-04-14-45-08-301_com.android.chrome.png
 
Umeniulizq mwaka huu ama ?..generally movie zangu ni hizi
1.Extraction zote
2.movies za has fallen za Gerald buttler
3.Lone survivor
4.Jason bourne zote
5.Tears of the sun

SERIES KALI
1.GOT ipo rank moja na PRISON BREAK
2.SEAL TEAM Naipa rank moja na VIKINGS
3.TERMINAL LIST naipa rank moja na POWER
4.TREADSTONE
6.BLACKLIST
7.JACK RYAN SERIES
8.SPECIAL OPS
9.HOMELAND naipa rank na 24 hours
10.MOBLAND na DAY 0F THE JACKAL
We eagle apo kwenye Homeland toa weka The Americans
 
Kuna yule mwana FBI anakuja kugundua mwishoni kuwa rafiki yake ni kgb 😃😃 sema wale kweli walikuwa mashushushu sio powa mkewe kapiga kazi sana anaweza akaja kuku uroda kumbe anaku spy
Na kuna baadhi ya matukio wameyachukua kwenye historia ni matukio ya kweli kabisa (na baadae PHILIP na ELIZABETH walikuja kuoana kweli )
 
Kuna yule mwana FBI anakuja kugundua mwishoni kuwa rafiki yake ni kgb sema wale kweli walikuwa mashushushu sio powa mkewe kapiga kazi sana anaweza akaja kuku uroda kumbe anaku spy
yule jamaa ilibidi awaache waondoke tu maana walimuweka karibu sana kama ndugu alafu kumbe wahuni wanachukua information kwa ajili ya taifa lao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom