Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,071
- 95,687
Nasubiria alice in the borderland season 3, angalau hii story ili Anza na kuisha vyema.Hakuna season 4, Squid game imeisha ikiwa na season 3 tu,
Wamesema ile scene ya mwisho haijalenga kua kuna muendelezo bali wamepeleka ujumbe kua game imeisha Korea lakini sehemu zingine duniani bado inaendelea, lakini pia wametaka kupumzika kwa sasa labda baadae wanaweza wakatoa spinoff sio sequel na hii spinoff itakua na nafasi ya miaka mitatu kati ya season 1 na season 2,
Hii ni 'May be' tuwe wapole tuendelee kutazama series zingine. Lol
Halafu umenikumbusha niiangalie season 2, niliishia season 1, lakini mbona hii hawajaipa promo sana? binafsi nimeipendaNasubiria alice in the borderland season 3, angalau hii story ili Anza na kuisha vyema.
Ili kuwa silent hit baadae ika enda viral, baada ya squid game season 3 kuisha kulikuwa na space.Halafu umenikumbusha niiangalie season 2, niliishia season 1, lakini mbona hii hawajaipa promo sana? binafsi nimeipenda
Hiyo page ya movie imepakia vitu vizuri π
Alice ina magemu magumu mno, mule wamejazana majiniasi, kuna mwamba anaitwa chinsiya yule jamaa ana high level IQIli kuwa silent hit baadae ika enda viral, baada ya squid game season 3 kuisha kulikuwa na space.
iki jadili ipi kali kati ya Alice na squid, Alice ali shinda.
hata kimauzo wako vyema, kina arisu.
Dr. Mariposa huyu uki ambiwa ushindane nae hutoboiππAlice ina magemu magumu mno, mule wamejazana majiniasi, kuna mwamba anaitwa chinsiya yule jamaa ana high level IQ
Ana itwa chishiyaAlice ina magemu magumu mno, mule wamejazana majiniasi, kuna mwamba anaitwa chinsiya yule jamaa ana high level IQ
Squid game ina emotion inaonyesha jinsi watu wanavyosalitiana kwa ajili ya pesa na kusurvive, game gumu kabisa kwenye Squid game ni lile la season 1 kuruka kwenye vioo na season 3 kuruka kwenye kamba ila yaliyobaki ni simple sana.Ana itwa chishiya
Humu uki ambiwa uta fute gari hupati π€£Squid game ina emotion inaonyesha jinsi watu wanavyosalitiana kwa ajili ya pesa na kusurvive, game gumu kabisa kwenye Squid game ni lile la season 1 kuruka kwenye vioo na season 3 kuruka kwenye kamba ila yaliyobaki ni simple sana.
Hivi nobody2 tayari?wame iachia Sasa hivi, tayari iko net Flix Selikavu, dosho12, Razorblade, Edo kissy
View attachment 3391997
Ni kweli Squid Game ni emotional. Ila season one ndio ilikuwa komesha. Nakumbuka Season 1 episode ya 6 kama sikosei, hii episode ilikuwa inaitwa Gganbu ndo ilianza kuhusunisha kuna mshikaji tulikuwa tunaangalia naye huwezi amini, alitokwa na machozi. Alinikera sana, mwanaume unaliaje kisa movieSquid game ina emotion inaonyesha jinsi watu wanavyosalitiana kwa ajili ya pesa na kusurvive, game gumu kabisa kwenye Squid game ni lile la season 1 kuruka kwenye vioo na season 3 kuruka kwenye kamba ila yaliyobaki ni simple sana.
Nobody2 tayari online?Uko vizuri
Hiyo wame andika mpaka august 15, au wewe uko dunia ipi?Nobody2 tayari online?
Nobody 2 sidhani kama imetokaNobody2 tayari online?
Good boy, Count down, iron heart ziko wapi?
Hivi Count down ni nzuri naona watu wanaizungumzia, hiyo Iron heart bado sijapata mzuka wa kuingalia sababu MCU hivi karibuni wana historia ya kuharibu kazi zao pia kuona mtoto wa chuo anatengeneza suit kama ya iron man ni kuharibu sifa ya Iron man ππGood boy, Count down, iron heart ziko wapi?
Nzuri, hata hiyo iron heart hawaja zingua kivile.Hivi Count down ni nzuri naona watu wanaizungumzia, hiyo Iron heart bado sijapata mzuka wa kuingalia sababu MCU hivi karibuni wana historia ya kuharibu kazi zao pia kuona mtoto wa chuo anatengeneza suit kama ya iron man ni kuharibu sifa ya Iron man ππ