Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Ukiipenda straw ipende na hii
View: https://x.com/Fandango/status/1934657529709035579?t=M4Wlk3th5tWdnHxcZ5yDGQ&s=19
Inaitwaje? Picha haifunguki kwangu
Ukiipenda straw ipende na hii
View: https://x.com/Fandango/status/1934657529709035579?t=M4Wlk3th5tWdnHxcZ5yDGQ&s=19
Kuna msemo yule mtu wa saikoloji alisema " the mind can sometines create a false reality to shield it self from trauma "Hivi fractured ni ile mtt wake anaanguka halafu wanakutana na mauzauza hospitalini? Mie sijafaham, ina maana ile inakuwa kama imaginations au vp? Mie naona sijaifaham ile movie niwe mkweli tu
Washa Vpn itafungukaInaitwaje? Picha haifunguki kwangu
Hurry up tomorrowInaitwaje? Picha haifunguki kwangu
Mi pia 😀😀View attachment 3375638
Huyu Binti akifa sitazami EP zinazofuata
The Amateur niliicheki ni nzuri, afu jamaa ana season pia inaitwa Mr Robot nahisi, pia nasikia jamaa amaigiza kama genious
Umechelewa mno itafute kama unapenda mambo ya tech na action za kutumia akiliThe Amateur niliicheki ni nzuri, afu jamaa ana season pia inaitwa Mr Robot nahisi, pia nasikia jamaa amaigiza kama genious
Exactly 💯 na last of us msimu ujao sifatilii maana wanaleta story ya game tuMi pia 😀😀
Salamanca vijana wake wamevurugwa sana aisee 😀 😀
Ha ha ha, Huyu Binti atakufa tu, Pamoja na huyo Bibi na mtoto wake yule wa kiume lazima wafe.View attachment 3375638
Huyu Binti akifa sitazami EP zinazofuata
Nipo gud jana nilikuwa naicheki the sinner lkn nikama sijaielewa hivi au huko mbele ya safari itakuwa nzuri.😄😀😀 Upo gudi mwanangu 😎
😂😂😂Kama uliipenda from series hizi zitakufaa maana story zinafanana
Hizi hapa
![]()
![]()
Cc Carleen dosho12 Living Pablo Dr. Mariposa if cap fits
Hii wayward pines ni balaa sana inafaa utizame usiku mida kama hii mwanangu Carleen 😀😃
Vincenzo Jr anatulisha tu series kila siku tunaanza kuwa na vibonge😆😆, inabidi tuanze diet ya movie 😁😁😂😂😂
Nina List moja ndefu balaa, nimechukua suggestion humu ndani, nitakuja wapa maua yenu nikimalizana nazo..!!
😂😂😂😂Vincenzo Jr anatulisha tu series kila siku tunaanza kuwa na vibonge😆😆, inabidi tuanze diet ya movie 😁😁
Mkuuu MOBLAND HAIJATOKA YA S YA PILI?Hurry up tomorrow