Series (Special thread)

Series (Special thread)

Naunga mkono hoja kaka Tabitha anamkubali sana yule mwana
acha inyeshe tuone panapovuja
1750098218426.jpg
1750098672677.jpg
 
FRACTURED inabidi utulize akili kuelewa mana ni ngumu kumuelewa yule specialist mana haijajifungua sana ila Straw wamekurudisha nyuma vzuri mpk unaona kweli dada alidata.
Ila kwenye straw kitu kimoja walichokosea mpaka kusema haija base sana ki saikolojia, mtu akisha flip vile ni vigumu kumuelewesha kwamba kile kilichotokea ni uongo, inachukua muda sana kukubali ila kwenye straw aliambiwa tu kwenye simu kisha yule manager wa bank aka confirm kuwa ni kweli alafu hapo hapo janaya akaamini wanasema ukweli bila ku dauti.
 
Hyo Hali ya kuona vitu visivyo kuwepo Tuombe isitokee kw watanzania mana ugomvi utakuwa mkubwa sana.
Kabisa hivi vitu ni vya kuona tu kwenye movie usiombe vikutokee, kuna story moja nilisikia zamani clouds fm, kuwa kuna mama mmoja alikuwa alifiwa na mwanaye alindondoka kwenye daraja la mto na kufa, ila huyo mama baada ya kufa alikuwa akienda darajani kumsubilia ampokee toka shule,
 
Balaa Hilo unaweza sema inatibika hyo Hali hapo itachukua mda kufuta matukio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom