Series (Special thread)

Series (Special thread)

TUpige kura ipi movie kali kwako
Screenshot_20250616_164758_Chrome.png
Screenshot_20250616_164731_Chrome.png
 
Ni balaa sana pale mwakani tutaenjoy sana katika msimu mpya
Sema kwa malezi ya wazazi wa kibongo wale watoto Ethan na Julie ilikuwa wameshachapwa bakora watoto hawasikii wale yule Julie tangu mwanzo wazazi wake wanamwambia Family inatakiwa ikae pamoja kaleta ubishi kukaa colony house nusu afe sema victor akamsaidia, pia alienda tena kwenye lile jengo walilofungwa angali alikatazwa hadi na yule mbishi wazee wa smile walimsurubu kidogo ili ajue kuwa ubishi wake hausaidii (RANDALL jamaa mbishi huyu)

Hii series watu walipendana sana sidhan kama ingekuwa uhalisia watu wangeachwa na maubishi yao kuna jamaa aliingia kwenye mti akatokea kwenye ukuta wa pool kanasa, kwenye jamii kubwa akikosekana kiongozi ni matatizo tu Boyd kasaidia wengi sana.

Fav character wangu jamaa wa kuitwa Jade.
 
Jade toka msimu wa kwanza yule kichwani yupo vizuri sana dogo Randall nusu wamtoe roho wale jamaa hawana masihara mtu aliezingua ni kale kapolisi kalikokuja Kijiji cha from usiku afu aka anza kurusha risasi hovyo pale kilinuka aisee 😀 😀 alizani wale ni binadamu tu wakawaida
 
Sema kwa malezi ya wazazi wa kibongo wale watoto Ethan na Julie ilikuwa wameshachapwa bakora watoto hawasikii wale yule Julie tangu mwanzo wazazi wake wanamwambia Family inatakiwa ikae pamoja kaleta ubishi kukaa colony house nusu afe sema victor akamsaidia, pia alienda tena kwenye lile jengo walilofungwa angali alikatazwa hadi na yule mbishi wazee wa smile walimsurubu kidogo ili ajue kuwa ubishi wake hausaidii (RANDALL jamaa mbishi huyu)

Hii series watu walipendana sana sidhan kama ingekuwa uhalisia watu wangeachwa na maubishi yao kuna jamaa aliingia kwenye mti akatokea kwenye ukuta wa pool kanasa, kwenye jamii kubwa akikosekana kiongozi ni matatizo tu Boyd kasaidia wengi sana.

Fav character wangu jamaa wa kuitwa Jade.
Yule alienasa kwenye pool alijifanya mwamba kumbe kazingua pale😀😀😃
 
Jade toka msimu wa kwanza yule kichwani yupo vizuri sana dogo Randall nusu wamtoe roho wale jamaa hawana masihara mtu aliezingua ni kale kapolisi kalikokuja Kijiji cha from usiku afu aka anza kurusha risasi hovyo pale kilinuka aisee alizani wale ni binadamu tu wakawaida
Randall alikuwa na ubishi pamoja na kuona watu wakifa akataka aone wanakufaje akamfunga Donna kama sadaka vilemshenzi sana yule jamaa, Yule polisi nae sijui wenge hivi unaona watu unaowapiga risasi wanakuja tu hawadondoki hata ndo maana akawa anapiga tu risasi
 
Yule alienasa kwenye pool alijifanya mwamba kumbe kazingua pale
nilimuonea huruma sana jamaa na umwamba wake, alafu wale jamaa ukiwaletea kiburi ni kama wanataka wakukomeshe Boyd alitukana sana wakamfunga aone wanachomfanya yule mama wa kichina nahisi ndo maana pale walimpa funguo ya gari Boyd wakasema wana Randall kwa leo..

Jade mwanaharakati alisema "any meeting with more than three people is basically pointless" apo wanakijiji wamemuweka kikao Tabitha alivyotoka mjini alafu yeye yupo zake chimbo anacrack code
 
Randall alikuwa na ubishi pamoja na kuona watu wakifa akataka aone wanakufaje akamfunga Donna kama sadaka vilemshenzi sana yule jamaa, Yule polisi nae sijui wenge hivi unaona watu unaowapiga risasi wanakuja tu hawadondoki hata ndo maana akawa anapiga tu risasi
Yule Polisi sema ana uno la kwenda aisee namuona boyd msimu ujao akimla yule 😃😀 donna nae mbishi sana sema anapenda kulia lia 😃😀
 
nilimuonea huruma sana jamaa na umwamba wake, alafu wale jamaa ukiwaletea kiburi ni kama wanataka wakukomeshe Boyd alitukana sana wakamfunga aone wanachomfanya yule mama wa kichina nahisi ndo maana pale walimpa funguo ya gari Boyd wakasema wana Randall kwa leo..

Jade mwanaharakati alisema "any meeting with more than three people is basically pointless" apo wanakijiji wamemuweka kikao Tabitha alivyotoka mjini alafu yeye yupo zake chimbo anacrack code
Sema zile talisman zinawasevu sana ila sizani kama msimu ujao zitawasidia maana inaonekana wale wahuni hadi mchana wanaweza kuonekana au nakosea mwanangu Carleen
 
Sasa jamaa harakati za kujikomboa watafanya kweli kama wazee wa smile watatembea mchana!!😃 Wale jamaa wa smile wangekuwa wanaspeed ya kukimbia wangeuwa wengi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom