Series (Special thread)

Series (Special thread)

FInal destination bloodlines
Screenshot_20250617_234143_Video Player.png
Screenshot_20250617_234158_Video Player.png
Screenshot_20250617_234212_Video Player.png
 
Naipa straw, Acrimony sijawahi kuiona
Itafute acrimony binti anahonga pesa zote za urithi akiamini bwana ake atakuja kutoboa anamsomesha jamaa bado hatoboi alivokata tamaa ndugu pia wakashinikiza adai talaka walivoachana tu dogo kapiga bilions dollars kwenye project yake ya betri hapo ndipo kisanga kinapoanzia.
 
Hii Straw naona inazungumziwa sana.

Ila movie za hivyo huwa sizielewi kabisa. Ngoja inipite tu.

Sema wazungu wanapenda sana movie kama hizo za ma emotions, ila kipengele Sana.

Unaweza shangaa hii movie ikawa na rating kubwa.
Ndio the number one movie kwa 2025,

Guys, nipo safarini nataka niiangalie hiyo Straw au kama kuna movies nzuri za horrors au action please share
 
1. Source code
2. Mama ( horror )
3. No escape
4. The Call ( korean )
5. Be with you ( korean )
1. Nimeiona, hua namkubali sana Jake, movies zake nyingi nimeangalia
2. Nimeiona, hii sio poa nakuongezea na Lights out
3. Kama ni ile ya Owen Wilson nimeiona, nzuri sana humo utamkuta mzee Pierce Brosnan unasomeka kwenye Mobland pia kama Conrad Harrigan,
4. Hii ni ile ya kina Park Shin Hye? bado sijaiona nitachek trailer yake kwanza
5. Hii sijaiona, i hope ni nzuri maana wakorea wana comedies sana
 
Hiyo be with you ni nzuri ni rom-com pia ina mystery/time travel, main cast ni so ji sub

1c4136241386fa8db093e8bf89f508e1.jpg
kwenye No escape nayosemea siyo ya owen wilson, hiyo ipo kama Escape room
 
mi naona kwenye fractured walieleza vizuri zaidi tena ki saikolojia ila straw ime base sana kwenye emotion
Hivi fractured ni ile mtt wake anaanguka halafu wanakutana na mauzauza hospitalini? Mie sijafaham, ina maana ile inakuwa kama imaginations au vp? Mie naona sijaifaham ile movie niwe mkweli tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom