adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,952
- 6,154
Fargo yes..aisee mzigo mmoja matata sanaUmemliza seasons zote?
Fargo yes..aisee mzigo mmoja matata sanaUmemliza seasons zote?
Inaitwaje hii Movie ?View attachment 3369721View attachment 3369722View attachment 3369723
Hii movie nimeangalia na wife ilivyofika hii part nikaona mtu anaanza kulia kwa sauti🥹 ikabidi nistop movie nianze kumbembeleza ila hii movie ni maisha kabisa ya watu wanapitia humu mitaani mwetu....shukuru na jiombee mema kwa kile ulichojaliwa maisha yako ni jukumu lako
TUSIKATE TAMAA
STRAWInaitwaje hii Movie ?
maana naona inatrend sana kwa kuwaliza watu 🤔
Nimemuwekea hapa mdogo wangu (kike), huwa ana roho ngumu kuniliko maana movie anazopenda ni horror hata usiku wa manane peke yake anatazama, akii' hajapepesa hata jicho wala hajadondosha hata chozi..!!🙌Inaitwaje hii Movie ?
maana naona inatrend sana kwa kuwaliza watu 🤔
Baada ya kumaliza Mobland nataka nianze hii Fargo.Fargo yes..aisee mzigo mmoja matata sana
barryNaombeni mzigo wenye ufanano na FARGO
huyo dogo ni jasiri sana ila mpe hizi movie mbili sicin na evil dead akizimaliza hizo tutampatia cheti cha horror muvi au dosho12 unasemajeNimemuwekea hapa mdogo wangu (kike), huwa ana roho ngumu kuniliko maana movie anazopenda ni horror hata usiku wa manane peke yake anatazama, akii' hajapepesa hata jicho wala hajadondosha hata chozi..!!🙌
Nitamtafutia hizo mbili, thank you so much Cassano, nataka nimpakulie na final destination maana Mimi hata trailer tu nilishindwa maliza..!huyo dogo ni jasiri sana ila mpe hizi movie mbili sicin na evil dead akizimaliza hizo tutampatia cheti cha horror muvi au dosho12 unasemaje
Chief Niliamua kurudi enzi za mawe, Nikarudia kuangalia Prison Break then OZ. Juzi nikarudi Modern generation nikajidunga Mobland.squid game inakaribia wanangu bado siku chache mno
Yule mtoto pale shuleni alichukuliwa na akina nani na kwanini walimchukua?View attachment 3369721View attachment 3369722View attachment 3369723
Hii movie nimeangalia na wife ilivyofika hii part nikaona mtu anaanza kulia kwa sauti🥹 ikabidi nistop movie nianze kumbembeleza ila hii movie ni maisha kabisa ya watu wanapitia humu mitaani mwetu....shukuru na jiombee mema kwa kile ulichojaliwa maisha yako ni jukumu lako
TUSIKATE TAMAA
huwa inaitwa foster care, watu wa huko duniani wana utaratibu wao wakiona huwezi kumpa mwanao malezi yanayostahili, (naonaga sana addict huwa wananyang'anywa watoto) wanamchukua wanampeleka kwenye hizo foster home, zinakuwa chini ya usimamizi wa Serikali na wewe mzazi wake kwenda kumuona ni kwa utaratibu maalumu,Yule mtoto pale shuleni alichukuliwa na akina nani na kwanini walimchukua?