Series (Special thread)

Series (Special thread)

Leo kaka angu kanipigia simu akaniuliza kama nishaiona nikamwambia bado, akasema ameishia kati hawezi tena kuendelea mtu mzima kutoa chozi aibuuuuuu 🤣🤣
Mwambie atumie teknik nnazotumia mimi, nikifika sehemu ya kusikitisha sana na pause, najinyoosha, nakunywa maji kidogo kisha naendelea, hizo mbinu zipo very effective. Naziita Dosho's strategy 😎😎
 
Me on Google after watching STRAW 😁😁
Screenshot_2025-06-13-21-41-01-633_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Mda wa kuenjoy huo mwanangu 😀 😃 jana nilirudia horror Moja hivi inaitwa ash

Oya hajafariki huyo masta yupo kwenye msimu wa 3 EP ya mwisho

Kazaliwa tena oyaah ni balaa
Bora arudi, ndo naianza apa season3 ngoja niifakamie weekend nifunge huu ukurasa💪🏽
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-13-23-41-57-57_4aed3257f278fcf7bfa3abd644e23333.jpg
    Screenshot_2025-06-13-23-41-57-57_4aed3257f278fcf7bfa3abd644e23333.jpg
    535.7 KB · Views: 10
Pole jirani 😂 yaan nikisikia hivyo ndio sitaki kabisaa kuiangalia, niliwahi kuziona hizi movies,
Lion,
Slumdog Millionea,
Jungle,
Miracle in cell No 7 (Turkish version)
Zilinikaa sana kichwani nikawa na huzuni muda wote
Pole jirani yangu mie Kuna hizi huwa nalia sana yaani sana
The fisher
Boys Don't Cry
The Green Mile
The Boy in the Striped Pajamas
 
Carleen hujatupa mrejesho, au bado hujaangalia?
View attachment 3367010
Nimetazama Leo asubuhi Malaika, kwanza nilianza kulengwa lengwa machozi mapema kabisa maana mlishaniandaa kisaikolojia, nikasema nuh' I won't break easily nikakaza,

muda anazungumza na Teyana kama negotiator nilishindwa aiseeeh' nililia balaa, na nikaja kulia tena baada ya kugundua kuwa Aria mwenyewe alishaaga dunia, kumbe all those times she was just imagining things, mapambano yote yalikuwa ni bure..!

Ahsanteni sana mmefanikiwa, nilitaka kukaza kisha nije hapa kuwa prove wrong ila kiukweli nilishindwa..🙌
 
Ni vyema umekuwa muwazi, mtu yoyote atayekwambia alilengwa na machozi tu huyo anadanganya kila mtu aliye angalia hii movie alilia,😃 isipokuwa mimi tu, mimi machozi yalinilenga lenga tu sikulia 😎😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom