Nimetazama Leo asubuhi Malaika, kwanza nilianza kulengwa lengwa machozi mapema kabisa maana mlishaniandaa kisaikolojia, nikasema nuh' I won't break easily nikakaza,
muda anazungumza na Teyana kama negotiator nilishindwa aiseeeh' nililia balaa, na nikaja kulia tena baada ya kugundua kuwa Aria mwenyewe alishaaga dunia, kumbe all those times she was just imagining things, mapambano yote yalikuwa ni bure..!
Ahsanteni sana mmefanikiwa, nilitaka kukaza kisha nije hapa kuwa prove wrong ila kiukweli nilishindwa..🙌