Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii horror inamfaa sana Carleen Cc dosho12 Angel Nylon
20250612_123309.jpg
 
Hiyo a Journal to Jordan niliipenda sana love story yao kabla hawajaanza mambo ya kulia lia, yaani kuna time hua naitamani ile feeling ya kufall inlove na mtu (mpya) sijui mnaielewa ukiona simu yake unatengeneza koo vizuri unajilaza kwa bed unaongea kwa mapozi, unaweza ukaongea na simu usiku mzima na usione shida, ukikaa sehem unaisikia harufu ya manukato yake, hata ukiwa busy vipi lazima across on your mind then you smile alone, kuna wakati unapitia convos zenu zooooote mwanzo mwisho unacheka peke yako, lol mambo ni mengi ila hua siipendi ile part ya kuanza kuargue na kununiana, aargh!
Ubaya ni kwamba kila mahusiano ni lazima yapitie hiyo phase
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom