Series (Special thread)

Series (Special thread)

Basi mm huwa naboreka pale napoona ma directory wengi wanakosa idea ya kutoa series tofauti utakuta Wana copy mambo ya fbi, csi, cia,etc mfano Blacklist, Blindspot, Quantico, homeland, True detective, crisis zipo kibao zinafanana idea
Daah mimi ndio napenda et
 
Wadau msaada kwenye tuta
mie uwa niki2mia site ya o2tvseries kupakua muv uwa inatoka na quality mbovu labda ni minimize screen ndo naona inaonekana poa ila kwa full screen uwa inaonekana vibaya nifanyaje?
 
Basi mm huwa naboreka pale napoona ma directory wengi wanakosa idea ya kutoa series tofauti utakuta Wana copy mambo ya fbi, csi, cia,etc mfano Blacklist, Blindspot, Quantico, homeland, True detective, crisis zipo kibao zinafanana idea
Sidhani kama wana copy inaweza kua wananunua haki ya kucheza tukio furani.matukio mengi yaliyotokea kweli wanayachezea series au movie na mhusika analipwa.mfano movie moja hv inaitwa the godfather kama sikosei ya mwaka Kati ya 2008 -2011 ni tukio la kweli la jamaa alieua familia yake yote na kutokemea mji mwingine na kuoa mke mwingine.
 
ImageUploadedByJamiiForums1454244600.899054.jpg

Mpya kabisa.
Iko na 20TV Series uzipendazo.

Kujua aina ya Series send whatsapp Text "Series" to

0715-240140

Karibuni.
 
Jaman kama kuna group whatsapp linalo husu series especially series za kimagharibi naombeni mni add mana nahisi napitwa na mengi. Also nataka nijichanganye na wadau wa movies zaidi...
 
Kwa mimi hizi pia:
-War&peace.
-The legend of the seeker.
-Beauty&beast.
-Devious Maids.
 
Jaman kama kuna group whatsapp linalo husu series especially series za kimagharibi naombeni mni add mana nahisi napitwa na mengi. Also nataka nijichanganye na wadau wa movies zaidi...
Ingekuwa poa kweli kama kungekuwa na group la whatsapp
 
Jaman kama kuna group whatsapp linalo husu series especially series za kimagharibi naombeni mni add mana nahisi napitwa na mengi. Also nataka nijichanganye na wadau wa movies zaidi...
Number yangu no 0744195490
 
Habari zenu wakuu

Vip mmesha jaribu kuangalia shadowhunter ndio ipo episode 3 kwa mtizamo wangu iko vizuri

Napia ipo shades of blue nayenyew pia ipo episode 3
 
Hallo Wana thread ya Series.

Nataka kuanzishaa group kwa ajili ya Mambo ya Series tu Jamani. "Strictly Series Only" atakayepost nje ya Topic itabid aengiliwe. Sawa si sawa!??

Nitumie Nambako kwenye hii number via Whatsapp ukisema "Add me to group la Series"

My number: 0715-240140
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom