KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Kwanini??Agent x cjui wameisimamisha hapa
Kwanini??Agent x cjui wameisimamisha hapa
Blind mmoja hivi anafanya mambo ya kisuperman
Au wamepumzika kwa muda..Agent x cjui wameisimamisha hapa
Iliniboa kwny episode ya kwanza nikaipotezea although niliisubiria siku nyingi kchizi..mkuu kama imekuwa tamu nianze upya..Agent x inaanza Kuwait nzuri season 1 eps 10
Cjajua kwa ninKwanini??
Nimeiona hii lakini hawajaconfirm tarehe lakini itakuwa kati ya mwishoni mwa mwaka huu au mwanzoni mwa 2017Jaman prison break narud tena season 5View attachment 319459
Wakuu naombeni kujuzwa juu ya season 2 ya into the badlands ishatoka au itatoka lini?
Pia series nyingi haziachi homosexualityKuna kitu kimeshamili sahivi naona series nyingi sasa zina aidha uchawi au ushetani au za mazombi hii sijui inatafsiri ipi mfano
Legends of tomorrow, shannara chronicles,Lucifer, walking dead nk
Yaani nilipoona series inaitwa Lucifer nikachoka kabisa. Anyway we're coming to the end of times. That's whyKuna kitu kimeshamili sahivi naona series nyingi sasa zina aidha uchawi au ushetani au za mazombi hii sijui inatafsiri ipi mfano
Legends of tomorrow, shannara chronicles,Lucifer, walking dead nk
Very true naona wameamua kulazimishia tamaduni zao za kipuuzi tuzione kawaidaPia series nyingi haziachi homosexuality
Sikujaribu hata ishushaYaani nilipoona series inaitwa Lucifer nikachoka kabisa. Anyway we're coming to the end of times. That's why
Hili nalo ni jipuBasi mm huwa naboreka pale napoona ma directory wengi wanakosa idea ya kutoa series tofauti utakuta Wana copy mambo ya fbi, csi, cia,etc mfano Blacklist, Blindspot, Quantico, homeland, True detective, crisis zipo kibao zinafanana idea
