Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa anayehitaji Series, fanya kunitafuta (Call/WhatsApp) kwa namba +255688736202

» Hata kama imetoka leo, utaipata

Bei rahisi na inapungua kulingana na Mzigo unaochukua
 
Habari wakuu.
Naomba msaada kwa mtu yoyote atakae kwa na series complete kisha tukabadilishana na zangu. Napatikana zanzibar kwa namba 0716403314.
Series nilionazo ni
1 LOST
2 MERLIN
3 BREAKING BAD.
4 NIKITA
5 CHUCK
6 PERSON OF INTEREST
7 INTRUDERS
8 SALEM
9 FARGO
.
NIKIIPATA 24HRS YA JACK B
nitapenda sana
Asanteni
Mi ninayo 24 hrs season zote ya kwanza mpaka ilipoishia
 
Kwa walioangalia Dark Matters Season 1. Kuna muendelezo wake ulitoka last year inaitwa Heroes Reborn, Season 1 ipo episode 13 nadhani ndo ya mwisho tunasubiri season 2 . Tamu sana hii heroes reborn.
 
Kwa anayehitaji Series, fanya kunitafuta (Call/WhatsApp) kwa namba +255688736202

» Hata kama imetoka leo, utaipata

Bei rahisi na inapungua kulingana na Mzigo unaochukua
Hivi Kuna watu wananunua series kweli?? Dunia ya leo??? Online kila kitu kipo wewe wauza?? Anyway kila la kheriii mkuu. Watakuja.
 
1.Iyo hannibal nilishindwa angalia. Nilihadithiwa kwamba jamaa analisha watu nyama ya binadamu. Hatare
2. Mr. Robot bonge la dude. Bora hata wameliirenew for season 2 kabla hata season 1 haijaisha.
3.,marvel's daredevil ni bonge la dude. Jamaa na upofu wake katisha. I cant wait to kuangalia season 2 ifikapo Mwez wa tatu
4. Marvel's agent carter haikunivutia kuichek bse imekaa kaa kizamni zamani nahs (1940's) na pia episode ni chache (8). Labda nitajaribu tena.

Hapo kwa Marvel dareDevil umeitendea haki...hiyo Mr Robot bure kabisa hakuna kituu, haina hata msisimuko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom