Duhhh...! Hii pamoja na vikings nilizisubili sana, wacha niendelezeWapenzi wa The 100 Season 3 imeanza..Mimi ngoja mpaka zikamilike hizo Episodes
Basi sie ni ndugu aisee....Fredosteve ......twafanana majina aseee
Ni foxy wenyewe wamesema japo imepata critisms za kutosha..mana inasemakana pia agent mpya atakuwa black american...Hivi hizi news wamesema wao wenyewe fox au story za mtaa tu
Yaani Beur ageuke kuwa black? So wanataka kusema Beur alifia Moscow sio???Ni foxy wenyewe wamesema japo imepata critisms za kutosha..mana inasemakana pia agent mpya atakuwa black american...
Tyrant inatoka lini mkuu?Ok m hata second chance imeshindwa kunishawishi ngoja nisubiri
Tyrant
The 100
Game of thrones
yah name sec adi surname ni rahaBasi sie ni ndugu aisee....
Star mpya kwenye 24 legacyYaani Beur ageuke kuwa black? So wanataka kusema Beur alifia Moscow sio???
Wasinikere hawa mbwa hawa
Star mpya kwenye 24 legacy
Hamna kitu hapa. Yaani haitauza hata chembe
Mkuu The 100 wameanza kuionesha leo The CW...bila shaka kuanzia kesho kutakuwa na torrents...
Hahaha kumbe unaogopa uchawi. Marvel daredevil tayari?
Tyrant inatoka lini mkuu?
Ahsante mkuuInatoka June mkuu!
Blind mmoja hivi anafanya mambo ya kisupermanBado mkuu ngoja niishushe inahusu nn?