Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa anayehitaji Series, fanya kunitafuta (Call/WhatsApp) kwa namba +255688736202

» Hata kama imetoka leo, utaipata

Bei rahisi na inapungua kulingana na Mzigo unaochukua
mkuu utakuwa umekosea jukwaa. kama vp weka tangzo jukwaa la matangazo. hapa nikupeana vitu bureeeee.
mfano kuna website aliitoa Chief-Mkwawa inaitwa dl.fardadownload.ir inazo series karibia zote kali kwa Mb chache na quality kubwa.
 
mkuu utakuwa umekosea jukwaa. kama vp weka tangzo jukwaa la matangazo. hapa nikupeana vitu bureeeee.
mfano kuna website aliitoa Chief-Mkwawa inaitwa dl.fardadownload.ir inazo series karibia zote kali kwa Mb chache na quality kubwa.
Ila hio site huwezi lingnisha na O2tvseries.com kwa kuwa na mb chache. O2tvseries wao mb nyingi kwa episode ni 78 ukidowload mp4 na ukidownload 3gp extension unapata kubwa Ina mb 30 na kitu. Upande wa movies huwa nawatumia mp4HDmovies.org wako poa Sana na walipendekezwa na chief mkwawa pia.
 
naangalia na obama Game of Thrones.. na tunaisubiri itoke.. wenye kuiangalia narcos mtuambie kama ni nzuri??
 
Arrow na Flash zimerudi tayari halafu Kuna Legends of Tomorrow nataka kuzishusha now
 
Hivi Kuna watu wananunua series kweli?? Dunia ya leo??? Online kila kitu kipo wewe wauza?? Anyway kila la kheriii mkuu. Watakuja.

Kama wimbo hujatungiwa wewe ni vigumu sana kuuelewa. Nimeshasema si wote wenye access ya Mtandao kama uliyo nayo wewe, that's why tunaamua kusaidiana kwa namna hiyo, tunachangiana kidogo gharama then kila mmoja anatafuta furaha ya Series. Au hujui kama kila unapodownload napo unalipia?
 
ukitaka kuielewa game of throne ujitahidi isikupite hta scene moja yaan ukiongea na simu weka pause nk na maneno uyaelewe vizuri sana wanayozungumza ni vizuri ukadownload na subtitle yake ili uielewe zaidi na season 2 mwishoni ndo inaamza kuchanganya ni moja kati ya seriez kari sana km ilipoishia sa hv JON SNOW kama kafa najiuliza itakuaje na jeshi la wafu ndo linazidi kukua nahisi utamu unazidi kukolea
Ndio nnasubiri season 6 ili nijue hatima ya J snow,Japokuwa speculation zinasema jamaa atafufuliwa/okolewa na red woman,na kama watamchoma hataungua maana mama yake no tygarian.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom