dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,700
- 9,857
Kweli toka wa introduce story ya wale wanao muabudu kama prophet wao series imeshift kwa wale WLF na hao scar na tour ya seattle😁😁Guys, is it me au? the last of us season 2 ukiacha zile episodes 2 za mwanzoni hizi zingine naona kama wanazingua, yaani siioni ile aggressive ya Ellie kwenye kusaka revenge, naona amebadilishwa amekua comedy, pia hiyo safari yao ya kwenda kurevenge yaan sijui imekaaje kaaje naona kama wameenda kutalii baada ya kua bored kwa muda mrefu😂 yaani kama hii episode 5 sijaona mzuka wowote