Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,686
Kabisa mkuu 😃😀 Kuna kipindi nilifikaga Ethiopia aloo ile nchi Kuna watoto kama malaika walahiVin na watoto wazuri ni kama watoto wazuri na vin 😁😁😁
Kabisa mkuu 😃😀 Kuna kipindi nilifikaga Ethiopia aloo ile nchi Kuna watoto kama malaika walahiVin na watoto wazuri ni kama watoto wazuri na vin 😁😁😁
Watoto wa kihabesh ni wazuri sana, vipi wa persia au unaogopa kwenda iran😁😁Kabisa mkuu 😃😀 Kuna kipindi nilifikaga Ethiopia aloo ile nchi Kuna watoto kama malaika walahi
Wangebadilisha hata kidogo, vipi ile arcane nayo si ilikuwa ni game ilikuwa kama game au wao walibadilisha. Au FalloutMkuu dosho12 naona the last of us hata nisipo icheki najua Nini kinafuata next EP 😃😀Bora wasingefuata story ya game wanatupa sie watazamaji tuwe tunajua Kila kitu
Wamebadili kidogo ila the last of us wanapita mule muleWangebadilisha hata kidogo, vipi ile arcane nayo si ilikuwa ni game ilikuwa kama game au wao walibadilisha. Au Fallout
Kule Kuna ubaguzi sana kaka Bora hata Oman ubaguzi sio saanaWatoto wa kihabesh ni wazuri sana, vipi wa persia au unaogopa kwenda iran😁😁
Me ukitoa latinas huwa nawapenda watoto wenye asili ya middle east. Kama yule msichana kwenye House of david😁😁😁Kule Kuna ubaguzi sana kaka Bora hata Oman ubaguzi sio saana
Hadi mimi kakaMe ukitoa latinas huwa nawapenda watoto wenye asili ya middle east. Kama yule msichana kwenye House of david😁😁😁
Itakuwa ya mwisho hiikwa hiyo hii ndo itakuwa ya mwisho kwa ujumla au title ya conjuring tu, maana wana Anabelle, The Nun, Curse of la llorona. Hizi sijui zitaendelea
Nnaelekea kukata tamaa na mimiNiliitupilia mbali licha ya kujaribu mara kadhaa.
Shukrani sana mkuu Kwa mrejesho 😁Kama hujaiangalia Warfare nakushauri endelea hivyo hivyo, usipoteze Mb zako.
Umeiona ep ya 5?Guys, is it me au? the last of us season 2 ukiacha zile episodes 2 za mwanzoni hizi zingine naona kama wanazingua, yaani siioni ile aggressive ya Ellie kwenye kusaka revenge, naona amebadilishwa amekua comedy, pia hiyo safari yao ya kwenda kurevenge yaan sijui imekaaje kaaje naona kama wameenda kutalii baada ya kua bored kwa muda mrefu😂 yaani kama hii episode 4 sijaona mzuka wowote
Yes, nilimaanisha ep ya 5Umeiona ep ya 5?