MWAKALASYA
Member
- Jun 22, 2015
- 46
- 10
Kwa wenye Iphone app gani nzuri kudownload movie?
Hii breaking bad kweli ni kitoa usingz aseee mana nikiwa naichek lazm nilale saa 12 asubh[/QUOTED
Moja series nzuri kabisa
Leonardo hiyo inahusu nini?[/QUOTED
Hiyo ni apps ya kudownload Korean series mkuu
Ipiii ya shades of blue au ile ya shannara chronicles
Hii series kali sanaNarcos
"Banks Are BAndits"-Pablo Escobar
Lets Cook!!Hii breaking bad kweli ni kitoa usingz aseee mana nikiwa naichek lazm nilale saa 12 asubh
"Power is measured by the gram"-Don EscobarHii series kali sana
kweli, nilikua naichek nikiwa kwenye kipindi cha mitihani chuo, huwezi amini nilishindwa kujizuia ili nisomeHii breaking bad kweli ni kitoa usingz aseee mana nikiwa naichek lazm nilale saa 12 asubh
Hahaha hujaielewa. Mti unampa vision mtu ndio anaona damu na mauaji mengine...Shannara chronicles but nimeitizama upya du hapana uongo umezidi yaani mti unatoa damu !
game of thrones naikubali sana.Mkuu wewe ndo unaendana some interests na mimi kwny ii issue ya series...umesahau na hizi ( a must watch)
Game of thrones (g.o.t)
The Originals
Rome
The crusades
Dracula...
Kwa haraka haraka nazikumbuka izo mkuu
Hahahaha kuna mtuuu alinambia nzuri hapa nataka niiii download nijionee na mieShannara chronicles but nimeitizama upya du hapana uongo umezidi yaani mti unatoa damu !
Shusha kitu kiko poa.Hahahaha kuna mtuuu alinambia nzuri hapa nataka niiii download nijionee na mie
Hahahaha kuna mtuuu alinambia nzuri hapa nataka niiii download nijionee na mie
hahahha noma aseeekweli, nilikua naichek nikiwa kwenye kipindi cha mitihani chuo, huwezi amini nilishindwa kujizuia ili nisome