Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,232
- 79,759
Hii series ni kalii sana 🔥One episode down. Series za hivi huwa zinafikirisha sana. Yani unakuta unatafakari mwenyewe ingekuwa imetokea kwenye familia yako ungefanyaje?
Baba anataka kumkamata mshukiwa wa mauaji ya mtoto wa hule. Kabla ya kufanya hivyo anabaini mwanae anahusishwa na mauaji hayo ooh my God. Acha nisonge nayoView attachment 3284241
Kalii sana 🔥 🔥Hilo dude ni kali mkuu mimi nipo ep ya 6
Nilikua nasubili imalizike yote ndo nianze kuangalia
Naam ni Kali sana hii mkuu mie nishaimalizaNilikua nasubili imalizike yote ndo nianze kuangalia
Imechukua muda mpaka nishaisahau nikajua waimeicancelView attachment 3285116
Tehran msimu wa 3 upo online wote
The americans ilinishinda kwakweli
Chernobyl ya mwka gani?The americans ilinishinda kwakweli
Hawa jamaa kwa thrillers wanajitahidi. Ngoja niangalie trailer yake
2019Chernobyl ya mwka gani?
Ipo hii mkuuImechukua muda mpaka nishaisahau nikajua waimeicancel
Mie naipa 9.5Hii Nine Bodies ipo poa sana, naipa 8.1
Me niliishia ep 2 season 3, ngoja nije nimalize mapema kabla haijanzaView attachment 3285192
Mzee wa kunyonga kama kuku anarudi tena
Shukrani Cassano, ndiyo naipakua hapa bablai..!!