Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,859
- 36,171
Naomba link kama unayo nasearch hamna kituNdio alafu malizia 99% Kama ilivyokwenye cover yake
Naomba link kama unayo nasearch hamna kituNdio alafu malizia 99% Kama ilivyokwenye cover yake
Jaribu kuandika hivi "Myortv na 99%"Naomba link kama unayo nasearch hamna kitu
Kwa kingereza inaitwa 99% deadNaomba link kama unayo nasearch hamna kitu
Mimi mwenyewe naitafuta kila movie site nazojua sioni😁😁😁View attachment 3264451
Wekeni link
Kama unayo wasaidie wenzako kuwapa link Mr QBig up kwa aliyeileta✊🏿
View attachment 3264452
Huyo demu ana movie nyingine inaitwa Total killer nzuri piaBig up kwa aliyeileta✊🏿
View attachment 3264452
Ebu niitafute, shukraniHuyo demu ana movie nyingine inaitwa Total killer nzuri pia
Mimi nilipewa ndio maana inakuwa ngumu kuwapaView attachment 3264451
Wekeni link
Ukibahatika kuipata hiyo series utaenjoy sana huyu jamaa criminal anajiita snake humo ndani katisha vibaya ni zaidi ya Jackal Kwanza lina akili, pili kukinukisha yeye ni dk zero mpaka niliwaonea huruma police kawafanya vibaya sana, ana roho mbaya mno hajui kucheka na kimaMimi mwenyewe naitafuta kila movie site nazojua sioni😁😁😁
Ngoja niitafute hii mkuuUkibahatika kuipata hiyo series utaenjoy sana huyu jamaa criminal anajiita snake humo ndani katisha vibaya ni zaidi ya Jackal Kwanza lina akili, pili kukinukisha yeye ni dk zero mpaka niliwaonea huruma police kawafanya vibaya sana, ana roho mbaya mno hajui kucheka na kima
Mr Q
Vincenzo Jr
Habu Vincenzo Jr ingia mitamboniUkibahatika kuipata hiyo series utaenjoy sana huyu jamaa criminal anajiita snake humo ndani katisha vibaya ni zaidi ya Jackal Kwanza lina akili, pili kukinukisha yeye ni dk zero mpaka niliwaonea huruma police kawafanya vibaya sana, ana roho mbaya mno hajui kucheka na kima
Mr Q
Vincenzo Jr
Kuna scene moja niliipenda sana huyo criminal alikamatwa na polisi akapelekwa kwenye kituo cha polisi kwaajili ya mahojiano akafanikiwa kuchoropoka akafanya balaa sana humo na mwahalifu mwingine ambapo alikuwa kwenye selo akamsaidia kwenye kumtajia sehemu walipo jiposition baadhi ya polisi wakati anafanya balaa lake na kwa kweli jamaa akafanikiwa kuua polisi wote kwenye hicho kituo alivyomaliza yule mhalifu alikuwa anategemea jamaa atamfungulia na yeye aescape cha ajabu msela akamfungia vioo dah nilichekaHabu Vincenzo Jr ingia mitamboni
Ni balaa sana kaka sema yule mdosi akimdaka kaishaEp5 nimangalia jana usiku. Mwamba anatatua matatizo pande mbili. Sehemu alipo na anatakiwa kwingine pia awepo kutatua tatizo. Yani ni hekaheka
Mkuu nimetafuta kote naona sioni kitu mzigo upo Netflix tu aisee nimelia sana hapa Cc Mr QKuna scene moja niliipenda sana huyo criminal alikamatwa na polisi akapelekwa kwenye kituo cha polisi kwaajili ya mahojiano akafanikiwa kuchoropoka akafanya balaa sana humo na mwahalifu mwingine ambapo alikuwa kwenye selo akamsaidia kwenye kumtajia sehemu walipo jiposition baadhi ya polisi wakati anafanya balaa lake na kwa kweli jamaa akafanikiwa kuua polisi wote kwenye hicho kituo alivyomaliza yule mhalifu alikuwa anategemea jamaa atamfungulia na yeye aescape cha ajabu msela akamfungia vioo dah nilicheka