Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nmemaliza series ya Snowfall yote leo kesho Mungu akipenda nataka nishushe chuma kingine. Hii series ni kali sana
View attachment 3249484
Baada ya kumaliza Snowfall nikadownload BMF(black Mafia Family) nimeimaliza leo kwa masikitiko kusubiri mpaka watapotoa muendelezo wake ila ni bonge moja la series.

Namove forward na kigongo kingine kipya hakuna kupoa huu mwaka ni bandika bandua🥱
View attachment 3264046
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom