Hiii Chernobyl kwangu nimeona kitu kizuri sanaUkraine war?.
Hiii Chernobyl kwangu nimeona kitu kizuri sanaUkraine war?.
Two and a half men ni nzuri piaTafuta the big bang theory mkuu
Ni series kalii sana mkuu na Kuna battle of Bastogne humo ndani utaipenda sana EP ya kwanza ni wanakula mazoezi kazi Ina anza EP ya pili hakuna kupoa kaka humoNataka nianze kujifudunga BAND OF BROTHERS, ole wako nikute madudu Vincenzo Jr lawama zote utazibeba kwa kukataa kunishauri series kali ya kuangalia.
Ni nzuri sana hiyo series mkuuUshauri wako umenipiga kofi la mgongo. Ndio naianza hapa ep 01.
Ni documentary series nzuri. Ila sio katika zile series zinazokufanya utake kuimaliza ndani ya siku 1 au 2.Nataka nianze kujifudunga BAND OF BROTHERS, ole wako nikute madudu Vincenzo Jr lawama zote utazibeba kwa kukataa kunishauri series kali ya kuangalia.
Imalize mkuu, hutojutia.Sijawahi kuangalia chief. Nimemaliza Ep02 naona ipo vizuri.
tafuta Bob hearts Abishola pia, nimecheka kila episode..!! Hutojutia..!!Nipeni series Kali sana ya COMEDY....
Ya kupasua ,kusaga na kuvunja mbavu
![]()
Kuna movie za wa indonesia hzo zinatisha balaa ila zimekaa kiislamu zaidi kuna sehemu wanasoma mpaka quranVincenzo Jr naomba movie inayotisha, siyo ya mazombie hapana, kuna mtu anataka picha linalotisha mpaka aikimbie television..😂😂
watu wanakatwa vichwa au..??😂😂Kuna movie za wa indonesia hzo zinatisha balaa ila zimekaa kiislamu zaidi kuna sehemu wanasoma mpaka quran
Behind Her Eyes
nimemaliza kuicheki hiyo season ni kali naipa 9.4/10Exactly 💯 brother ni series kalii sana 🔥
Kuna majini yanatisha kuna pemandi jenezah, Sijjin, na khanzab zinatisha balaa tena hyo sijjin wanasema wametumia instruction za ukweli za kufanya black magic nchi nyingi za kiislamu zimeipa banned kuonyeshwa kwenye nchi zaowatu wanakatwa vichwa au..??😂😂
Kijana wangu trela nzima ya behind her eyes kisu kimekata pilipili hoho tu?
The innocent ya mwaka gani?
Ila ni nzuri mnoKijana wangu trela nzima ya behind her eyes kisu kimekata pilipili hoho tu?
🙊🙊🙊🙊🙊
Dah bado sijashawishika kwakweli.Ila ni nzuri mno
I think this is kind of movie my eyes want to see and watch in my mind.HEART EYES hii singo itafuteni
Unapenda movie za siri iliyofichika hivyo inafichuliwa kidogo kidogo na mwisho unagundua movie ipo sivyo ulivyokuwa unafikiria. Hii ipo kama hiyoDah bado sijashawishika kwakweli.