Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,169
- 123,310
Banshee hujaiona? ile ya yule mzembe ambaye ana bastola kiunoni halafu wavuta bangi wamemuweka mtu kati. Wanamletea fujo wakiwa na mapikipiki unarmed na yeye hachukui action yeyote hata kupiga risasi juu.Ina sesons ngapi mpaka sasa