Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Hunters nimetoka kuishusha last week ila bado sijaanza kuicheki. Nategemea itafikia expectations zangu.Menyu imekamilika sasa.View attachment 3230372
Hunters nimetoka kuishusha last week ila bado sijaanza kuicheki. Nategemea itafikia expectations zangu.Menyu imekamilika sasa.View attachment 3230372
Binafsi sijaipenda japo idea nzuri,ila mission moja ya kumaliza kwenye episode moja inakula almost season nzimaHizo nimeziona zote kasoro hiyo White Collar.
Ila mzee umeidharau sana PB kwa kuiweka huko chini.
Ilikua series nzuri sanaRevolution waliicancel sijui kwanini
Nimeanza episode1Hunters nimetoka kuishusha last week ila bado sijaanza kuicheki. Nategemea itafikia expectations zangu.
Unaipa rate ngapi😎Nimeanza episode1
Vipi so far iko vizuri?Nimeanza episode1
Zote kalii sana hizi 🙌Menyu imekamilika sasa.View attachment 3230372
Ipo vizuri sana mie nili imaliza mapema sanaVipi so far iko vizuri?
Ndo nimefika kwa yule bibi alikuwa anaoga akapuliziwa gas akafia bafuni tulia kwanza 😁😁😁Unaipa rate ngapi😎
Mrejesho utakujaVipi so far iko vizuri?
Ipe rate mzeeLimitless pia Ina series yake ni Kali sana mwanangu 😎😍
Hahaa! Movie ina masaa mawili ya upuuzi mtupu.Movie ya Den of thieves mpya ni upuuzi msipoteze Mb zenu
Nakubaliana na wewe.Movie ya Den of thieves mpya ni upuuzi msipoteze Mb zenu
Hii inaitwa the wolfs?George clooney
Brad pitt matt damon
Its more psychological. Hata upige mashine vipi na kuchomeka mitarimbo iliyokubuhu kama amezoea kusugua vinembe hutamridhishaHaka katoto kumbe ni ka lesbian.. wanaume wa ulaya kazi imewashinda.
View attachment 3231006
Mwamba SebastianIlikua series nzuri sana