Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Mtoto mzuri sana yule sema baby yake kavurugwa sana nimependa sana babu anavyo mpenda mjukuu wake aisee Kila likitokea tatizo anafatilia yule babuMtoto hana aibu yule. Anaamka zaga lote limefunikwa na chupi tu mbele ya babu yake...
Ila walio.mchukua kwenye gari kwenye episode 1 nahisi watayatimba. Ndio nataka nianze episode two
