Series (Special thread)

Uliona yule nigga aliyo yapitia kuingiziwa lichuma
Pale miyeyusho sana πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜ƒ yule bidada nipo hapa natafuta movie zingine na series alizocheza yule anakitu na atafika mbali sana
 
Novichok humu imeleta kizaa zaa kizito.
Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akila kitako cha bastola cha mbavu na pumzi ikakata. Nikajisemea ewaaa haya mambo nilimisi kuyaona kwenye movies za james bond na zile za bourne. Hii ni zawadi ya Xmas wametupatia NIMEIPENDA

KAMA UNAYO NYIMGINE IWEKE HAPA
 
Kwa nini Bianca ana hamu sana ya kumkamata Jackal? Naona kama upelelezi unamtesa. Sijamaliza hiyi series nipo episode 9 ila naona Bianca anajitesa sana hadi anakosa muda na familia yake.

The way anavyom treat Damian kazini sijapenda, anamfanya kama mtumwa hivi ila sio mbaya naona Bianca na Jackal (Charles) ndio wanafanya series iwe tamu
 
Viongozi karibia wote ambao vyeo vyao licha ya u senior wao kazini, vnatokanana misheni walizo wahi kufanya na kuzikamilisha. Who knws labda baadae angekuwa Director General wakitengo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…