Series (Special thread)

Series (Special thread)

Samahani wakuu, naombeni msaada wa kunielekeze jinsi ya kuifanya Torrent iwe na speed ya ku download 7bu yangu inachezea kwenye 2.8-100 kbs. Natanguliza shukrani
 
Samahani wakuu, naombeni msaada wa kunielekeze jinsi ya kuifanya Torrent iwe na speed ya ku download 7bu yangu inachezea kwenye 2.8-100 kbs. Natanguliza shukrani

Hapo ishu sio torrent downloader ni internet speed inakua limit hivyo kama unatumia modem za mitandao ya simu ila ukitumia modem za ulaya hususani zile zenye capability ya wireless communication yaani unaweka laini kwenye hiyo modem then unauwezo wa kutumia device zaidi ya moja kuaccess internet kwenye hiyo modem (wireless modem zinaitwa) even though utatumia laini za bongo zenyewe zinakua na uwezo mkubwa wa kudownload, speed yake ziko configured na mazingira ya ulaya ya 1gb huku kwetu nyingi zinaishia 100kb
 
Samahani wakuu, naombeni msaada wa kunielekeze jinsi ya kuifanya Torrent iwe na speed ya ku download 7bu yangu inachezea kwenye 2.8-100 kbs. Natanguliza shukrani
Uwe unadownload file lenye asilimia kubwa ya seeds..Hiyo inasaidia torrent kuwa fast zaidi
 
Huyu mwandishi wa the blacklist ni ny.oko wallah yaaan hua nasisimka kila ijumaa ikifika
Jon Bokenkamp alicreate the call na taking lives!! Ni jembe! Tommorow (Thursday is the finale ya season3! Yani nasisimka
 
1)America horror story
2)bates motel
3)ash of evil dead
4) sleepy hollow
wale wa horror movies/series
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom