Series (Special thread)

Series (Special thread)

Watu weeuuweeeee hivi si walisema watatupatia mbili? Imekuwaje tena
😁😁😁
Naona wametoa zote mbili pirate bay
Screenshot_20241206-163244.png
 
Nimeweza kuvumilia mpka episode ya 9 sasa naianza rasmi
Nimeimaliza episode 9. Ni moja ya series ambayo huwezi pata lepe la usingizi ukiwa unaiangalia.

Hiki kipande cha 9 nacho kiko motooo. Wemzetu hata kama ni uigizaji wapo mbali mno. Hizi Ideas zenyewe sijui kama wana intelijensia wetu wanazo. Na kama wanazo basi serikali iwaongezee bajeti ili iwe kitengo cha kisasa HASAHASA.
 
Series Nzuri Za Ku-Follow Kipindi Hichi 2024

•Get Millie Black (Inatoka Kila jumaa3)
•The Agency (Inatoka Kila Ijumaa)
•Dune: Prophecy (Inatoka Kila Jumaapili)
•Silo (Inatoka Kila Ijumaa)
•The Day of the Jackal (Inatoka Kila Alhamis)
•Special Ops Lioness (Kila Jumaapili)

Nimetoka kumaliza Silo so1, imebidi nidownload s02 haraka sana...Jules ana moto balaa
 
Nimeimaliza episode 9. Ni moja ya series ambayo huwezi pata lepe la usingizi ukiwa unaiangalia.

Hiki kipande cha 9 nacho kiko motooo. Wemzetu hata kama ni uigizaji wapo mbali mno. Hizi Ideas zenyewe sijui kama wana intelijensia wetu wanazo. Na kama wanazo basi serikali iwaongezee bajeti ili iwe kitengo cha kisasa HASAHASA.
Series kalii sana hii 🔥 🔥 jana wakati natizama umeme ulikatika aisee nililia sana yaani sana nachomeka betri la PC nalo Lina asilimia 21 tu dah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom