qualalumpagrinder
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 465
- 815
kumbe ni Jumanne sio Alhamisi??Exactly 💯 brother Kuna boat ili pita ikazalisha wimbi ambalo lilifanya akose target ya mapema kabla yule boga hajaanza kuogelea.. mission ilipaswa wafe wawili tu matokeo yake kaua watatu...😃😃 Jumanne naona mbali sana aisee😁😃😃