Ongezea na Gotham seriesHii the penguine kuiangalia ni kuna ulazima wa kuangalia the batman kwanza?
Yani ili niangalie the penguine inabidi niangalie kwanza filamu ya batman na series ta Gotham?Ongezea na Gotham series
Yani ili niangalie the penguine inabidi niangalie kwanza filamu ya batman na series ta Gotham?
Basi ikafie mbele.
Hii series hata muisifie vipi siishushi hadi ikamilike season 1 fullseries imekidhi vigezo vyote vya baraza la usalama wa dunia
Bora ufanye hivyo. Tukutane December 12.Hii series hata muisifie vipi siishushi hadi ikamilike season 1 full
Hakuna namna kupeana utamu nusunusuBora ufanye hivyo. Tukutane December 12.
Ila usiniamini sana mkuu naweza nikachungulia hata muda huu, maana ulivyoisifia hadi nikatokwa na machozi ya furaha😅Bora usubirie ikamilike nimeishia Episode 7. Full maumivu kuishia njiani
icheki hii your honorWazee nishaurini series kali ya kuanza kuangalia kesho. Series za Action yenye akili nyingi bila kujali ni ya mapanga au bunduki
Hapana yenyewe tu imejitosheleza me mbona nimeilewa bila hata kuangalia hizo Batman na GothamYani ili niangalie the penguine inabidi niangalie kwanza filamu ya batman na series ta Gotham?
Basi ikafie mbele.
Hiyo Inahusiana mtoto wa jaji alimgonga mtoto wa familia ya gaidi akafa baba yake ambaye ni jaji akamuomba mtoto wake ajisalimishe polisi Ila alivyogundua aliyeuwawa ni mtoto wa familia hiyo akachange gia angani akamwambia mtoto wake asiende polisi, utamu wa series unaanzia hapaAhsante 🙏
Hiyo marco pollo naikuta wapi wanaShogun✔️
Presumed Innocent✔️
Warrior✔️
Marco pollo✔️
Gangs of London✔️
Lupin✔️
The Penguin✔️
Naombeni mnishauri series gani nyingine kali ACTION ya kuangalia bila kujali ni ya mapanga au bunduki.
Your honor cast bryan cranston(walter white)Hiyo Inahusiana mtoto wa jaji alimgonga mtoto wa familia ya gaidi akafa baba yake ambaye ni jaji akamuomba mtoto wake ajisalimishe polisi Ila alivyogundua aliyeuwawa ni mtoto wa familia hiyo akachange gia angani akamwambia mtoto wake asiende polisi, utamu wa series unaanzia hapa
Ndio aina za movie au series ninazopenda unaangalia ukiwa na juice yako pembeni. Hivi hiyo Tulsa king ni nzuri?Mkuu umejimegea kipande chako cha series zenye story za visa vya utata, kama ile presumed innocent ilikuwa kali balaa.
Ndio hiyo mkuuYour honor cast bryan cranston(walter white)
Nitajie yoyote KaliHiyo Tulsa sijawahi kuiangalia chief.
Ndio mkuuSeries za visa vya utata?
Ndio mkuu
Poa mkuuNitakudanganya chief, series zangu ni za action bila kujali bunduki au mapanga. Hizo za visa vya utata wewe ndio umeanza kunishauri nianze kuangalia Presumed Innocent.