Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,850
Kawaida kaka 😀😀😀Ha ha mambo yako hayo
Kawaida kaka 😀😀😀Ha ha mambo yako hayo
Exactly 💯 brotherSafi sana hii mali🔥
Dah !😀😀😀Ana chura?
Nipo 😎😎Humu ndani hakuna anayeangalia Tulsa King?
Hyo series sijaichekii bado ila kama kuna ujinba nitaacha kuangaliaJana wakati nacheki EP 6 the jackal pale mwishoni nilipeleka mbele fasta washaanza miyeyusho kwenye series washenzi sana Hawa director na wenzie
Ni series kalii sana sema wameanza kuleta mambo ya ushoga aisee inaelekea kuwa kama the boys tu maana mule ushoga umejaa sanaHyo series sijaichekii bado ila kama kuna ujinba nitaacha kuangalia
Wayne anakuja kama guest au??Batman atakuwepo sema Gotham city kubwa sana oz yupo weak sema ana akili sana yule dogo vikita alitakiwa afe Toka EP ya 1
ExactlyWayne anakuja kama guest au??
Hyo the boys nilishindwa kabsa kuichekNi series kalii sana sema wameanza kuleta mambo ya ushoga aisee inaelekea kuwa kama the boys tu maana mule ushoga umejaa sana
Kwahyo niicheki au?Ni series kalii sana sema wameanza kuleta mambo ya ushoga aisee inaelekea kuwa kama the boys tu maana mule ushoga umejaa sana
Hii episode ya 10 imepoa sana kuliko ya 9Humu ndani hakuna anayeangalia Tulsa King?
Kwanini?Hyo the boys nilishindwa kabsa kuichek
Kali sana. Inatoa funzo kwa jamiiMaoni?
Nimeitafuta movieMod ili nipate yenye lugha mbili nimekosa. Naipata wapi ambayo ni dubbed?
Marco polo inaenda kunishinda nipo ep ya 3 tu tayar imeshanikata mzuka. Story nyingiShogun✔️
Presumed Innocent✔️
Warrior✔️
Marco pollo✔️
Gangs of London✔️
Lupin✔️
The Penguin✔️
Naombeni mnishauri series gani nyingine kali ACTION ya kuangalia bila kujali ni ya mapanga au bunduki.
Maujinga mengiKwanini?
THE LAST KINGDOM umeicheki ?Wazee nishaurini series kali ya kuanza kuangalia kesho. Series za Action yenye akili nyingi bila kujali ni ya mapanga au bunduki
Nimeicheki MkuuTHE LAST KINGDOM umeicheki ?
Anza kuicheki ni series kalii sana mkuuKwahyo niicheki au?