Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tulsa King mnaisifia nikajarib kuitazama sioni maajab story nyingi🚮🚮
Hii kama hujafikia level za uchumi wa magumashi huwezi kuelewa kilichomo. Ukienda kwa wmiliki wa makasino na ulimwengu wa kutakatisha fedha ambao wengi raia wa tz waliaminishwa ni haram(wakati wakubwa wanapiga pesa) hao wamiliki wataielewa vilivyo. ILa kwa raia wa kawaida Bible sana hutaipenda kamwe.
 
Kwa sasa hii itawafaa mda huu
Msiseme sijawapanga
20241122_114323.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom