Series (Special thread)

Series (Special thread)

Shogun✔️
Presumed Innocent✔️
Warrior✔️
Marco pollo✔️
Gangs of London✔️
Lupin✔️
The Penguin✔️

Naombeni mnishauri series gani nyingine kali ACTION ya kuangalia bila kujali ni ya mapanga au bunduki.
Tafuta hizi
reacher
The 100
Paris has fallen
Those about to die
Vikings: Valhalla
Supacell
Who Is Erin Carter
Mr. & Mrs. Smith
The Boys
Bodyguard
Shadowhunters
 
Mzee wa hizi kazi the Day of jackal
IMG_20241119_204439_190.jpg
 
Mzee wa hizi kazi the Day of jackalView attachment 3156478
Aluanza kushuti ukuta kwanza ili kupima upepo na shabaha. Baadae waliokuwa wanamfuatilia wanatuambia the guy was shooting in the future.
Kwasababu target ilikuwa inamuvu, kwa umabili shooter aliokuwepo ilimpasa Atabiri kasi ya risasi, umbali aliopo na mwendo atakao kuwa nao mtu ambaye anapaswa kuuwawa. Kifupi series ni tamu ila fupi mno
 
Aluanza kuahuti ukuta kwanza ili kupima upepo na shabaha. Baadae waliokuwa wanamfuatilia wanatuambia the guy was shooting in the future.
Kwasababu target ilikuwa inamuvu, kwa umabili shooter aliokuwepo ilimpasa Atabiri kasi ya risasi, umbali aliopo na mwendo atakao kuwa nao mtu ambaye anapaswa kuuwawa. Kifupi series ni tamu ila fupi mno
Naunga mkono hoja kaka jana hii series Kuna mtu nimempa kaimaliza afu akaniulizia EP ya 7 ipo nikamwambia wiki ijayo akalia sana yaani sana 😀😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom