Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,012
- 46,770
Dah wamejua kutukumesha
😕😕🙁🙁
Dah wamejua kutukumesha
Wamezingua sana yaani sana ila sio mbaya tutakuwa bize na series ya siloDah wamejua kutukumesha
😕😕🙁🙁
Mi saivi nataka za mkong'oto tu from teacup na za dizaini hiyo sizitaki
Hapo sasa leta jina wengine kichina/kijapani/kikorea hakipandi 😁😁
Nje ya mji huko sidhani kama kiluvya kuna fiberAu kama mtaani kwako Kuna zuku fiber ivute wale fiber zao zina kasi sana aisee afu ni elfu 50 mbps 100
Tumia postpaid ya Airtel smeVictor: I remember something important
What do you remember ?
Victor: I have to go,I don't want to remember
Striking Rescue ila bado haijaachiwa rasmiHapo sasa leta jina wengine kichina/kijapani/kikorea hakipandi 😁😁
Victor sometimes huwa anazingua sana 😂.. Yeye ndo anajua siri zote halafu hapendi kushare.Victor: I remember something important
What do you remember ?
Victor: I have to go,I don't want to remember
Inahusiana na nini?
Imeruka episode moja... Kutoka ya pili kwenda ya tatu... Walioipandisha mtandaoni kuna kitu wamemis
Struggles katika mambo ya biashara, inafanana na billions Ila hii ni mini SeriesInahusiana na nini?
Victor msenge tangu season 1 analukaluka tuuhVictor sometimes huwa anazingua sana 😂.. Yeye ndo anajua siri zote halafu hapendi kushare.
Naona From inazidi kunoga sasa, labda sababu inaelekea kwenye episodes za mwisho.
Hamna season 2 mkuu???The.Penguin.S01E08.720p.WEB.x265-MiNX[TGx] (download torrent) - TPB
Download The.Penguin.S01E08.720p.WEB.x265-MiNX[TGx] torrent or any other torrent from the Video HD - TV shows. Direct download via magnet link.thepiratebay.zone
Imeisha hii ndio EP ya mwisho series kalii sana
Season 2 mwakani yule dogo alitakiwa afe Toka EP ya 1Hamna season 2 mkuu???
Jamaa kanikera mwishoni kumuua vic aisee